Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
- Thread starter
- #61
Nitakutafuta inbox unipatie uzoefu kwenye hili eneoYaniii bro ukianza na mil 8 tu unabeba mazaga ya kutosha huko dubai balaaa yaniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutafuta inbox unipatie uzoefu kwenye hili eneoYaniii bro ukianza na mil 8 tu unabeba mazaga ya kutosha huko dubai balaaa yaniii
Biashara isiyoumiza kichwa ni mazao wakati wa mavuno.. kama umeajiriwa kipindi cha mavuno ongea na boss chukua likizo zama shambani kanunue mazao ya chakula, sogeza mjini weka dawa na kuhifadhi store... yatakulipa, biashara nyingi za kumuachia mtu unaweza kuja kulia tu, labda awe mkeo/mumeo na awe na uchungu sana na hiyo pesa.Nina kazi nzuri tu, hiyo ni akiba yangu ipo tu but nataka kuifanyia kazi kwa malengo
Bonge LA ushauri, shukrani sana mkuuBiashara isiyo umiza kichwa ni mazao wakati wa mavuno..kama umeajiliwa kipindi cha mavuno ongea na boss chukua likizo zama shambani kanunue mazao ya chakula,sogeza mjini weka dawa na kuhifandhi store...yatakulipa,biashara nyingi za kumuachia mtu unaweza kuja kulia tu,labda awe mkeo/mumeo na awe na uchungu sana na hiyo pesa.
Usimpe pesa mtoto wako wala baba yako, labda mama mzazi.
Over
Pamoja sanaKaribu sana bro 0653271318 nikiwa sipo online nicheki hata kawaida kaka spare ipo gudiii sanaaa
Mpe mtu ushauri hapa kwa faida ya wengine pia...namba ya simu katika dunia iliyo chakaa siyo poa sana manKaribu sana bro 0653271318 nikiwa sipo online nicheki hata kawaida kaka spare ipo gudiii sanaaa
Njoo kilombero,, Morogoro ufanye utafiti mdogo alafu uangalie biashara gani inakufaa maana uko kuna fursa nyingi Sana,,
But najua adi unapat m12 ushapanga la kufanya all in all njoo kilombero kuna fursa
You are a such best mathematician bro, japo wadau wanasema hesabu za kwenye makaratasi huwa zinatofautiana ukienda kwenye field but for really, your calculations are very impressive.Biashara mpya kwa mtaji huo mkubwa is too much risk kama hautasimamia mwenyewe mkuu
Ila kuna option ya kununua mazao ya chakula hasa Mpunga gunia zako za kutosha na kuziweka store na inapofika kipindi cha Masika unafanya kuzikoboa gunia zako na kupata mchele wako swafi tayari kwa kuingiza sokoni kwani kipindi hicho uhitaji wa mchele unakuwa mkubwa sana hapa Dar es Salaam na Zanzibar
Minimum profit calculation
Katika centre nyingi ninazo zifahamu kwa muda huu gunia moja la Mpunga lina range kwenye TSH. 50,000/=
Hivyo basi kwa Pesa uliyonayo yaani TSH. 12,000,000, utaweza kupata gunia zenye debe sita sita 240 za mpunga na kuzihifadhi.
Kipindi ambacho Masika imechanganya hasa mwezi wa kwanza au wa pili, wewe ndo unafanya kukoboa mpunga wako ili upate mchele na gunia 1 la mpunga la debe sita linatoa debe tatu za mchele na debe moja la chenga za mchele
Hivyo basi katika zile gunia 240 unazidisha mara 3 na utapata debe 720 za mchele clear na debe 240 za chenga za mchele
Ukija sokoni debe moja la mchele lina range kwenye 35,000/= kwahyo unazidisha mara debe zako 720 za mchele na utapata kiasi cha TSH. 25,200,000/=, pia debe moja la chenga za mchele ina range kwenye TSH 10,000/= ukizidisha na debe 240 utapata kiasi cha 2,400,000/=
Total itakuwa ni Tsh. 27,600,000/= na ukitoa mtaji wako wa 12,000,000/= utapata net profit ya TSH. 15,600,000/= katika kipindi cha miezi mitano cha kuhifadhi mpunga wako
Ila ukija kutoa gharama za kuhifadhi mpunga na kukoboa haizidi TSH. 5,000,000/=,hivyo bado net profit itabaki kama 10,000,000/= katika miezi mitano yako ya uvumilivu.
Centre zenye mpunga mzuri ni kama zifuatazo Kyela, Kamsamba na kilyatundu, Usangu, Kahama ila kwa Morogoro sizifahamu vizuri
Naomba kuwasilisha na ninakaribisha maswali
[emoji849]Mkuu kopesha kwa riba nafuu. Au nunua hisa saivi ipo poa
Nashauri mangi. Unauza gesi ukiwa wakala amaUnataka ushauri wa kufanya biashara na unapanga faida kabisa. Sioni kama utatoboa zaidi ya kumaliza hiyo ml12.
Hapo kituo ambacho ni kizuri zaidi na nakuambia hivi kwasababu nimefika katika hizo field hizo katika harakati hizo za kununua hiyo mizigo ya Maboss mbalimbali.You are a such best mathematician bro, japo wadau wanasema hesabu za kwenye makaratasi huwa zinatofautiana ukienda kwenye field but for really, your calculations are very impressive.
Kati ya hivyo vituo vya kununulia mzigo, kipi like bomba zaidi (kinachotengeneza profit zaidi)
Kwa nini akatie Bima kubwa? Bima ndogo ina nini?Nunua bajaji 2 zote TVS moja lips cash, nyngne kwa mkopo wa kumalizia iliyobakia ndani ya miez 12. Zote Katia bima kubwa!
Hiyo mil. 8 ni kwa spre na usafiri wako na usafiri wa mzigo au vipi!?Yaniii bro ukianza na mil 8 tu unabeba mazaga ya kutosha huko dubai balaaa yaniii