Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

Kuna hiyo ya boda boda m12 utapata tv's zako 5 unawapa watu mkataba wa miaka 2 kwa siku una elfu5 mwezi una m1.5 kwa mwaka una m18 kwaiyo miaka 2 una m36 boda boda zinachangamoto nyingi sana hayo ni mahesabu tu ya kwenye karatasi ila ukiamua unaweza .....kama unashughuli zingine zinazokuingizia pesa iyo hela baada ya miaka 2 unaweza fanyia kitu cha maana tu au kupata mtaji mkubwa zaidi kwenye project nyingine umekosakosa m25 kabisa
 
!
20210904_141058.jpg
 
Tembelea wilaya mpya au zinazoanza kukua unaweza fanya randomly selection hata 5 ukafanyia kazi mbili. Nenda kaangalie wanakosa nini au huduma gani hapo anzisha utawala wako wa bidhaa au huduma.

Faida, huko na mtaji wa kati so itakupunguzia ushindani, itapunguza cost za kuendesha biashara, itapunguzia matumizi kulingana na starehe nyingi.
 
Milioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!

Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Dah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashara nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana.
 
Dah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashala nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana
Pamona sana bro. Vipi huko kwenye nafaka mambo bado ni mazuri? Nishawishi tafadhali
 
Tembelea wilaya mpya au zinazoanza kukua unaweza fanya randomly selection ata 5 ukafanyia kazi mbili. Nenda kaangalie wanakosa nini au huduma gani hapo anzisha utawala wako wa bidhaa au huduma.

Faida, huko na mtaji wa kati so itakupunguzia ushindani, utapunguza cost za kuendesha biashara, utapunguza matumizi kulingana na starehe nyingi.
The best advice, asante sana mkuu
 
Dah Wabongo KWA kukatisha watu tamaa hamjambo Mimi nilianza na nusu yake baada ya kudunduliza na nikawa naingiza mil 2.5 KWA mwezi kwenye biashala nafaka one kuwa yeye ambaye ana 12 Yani hapo akitulia anatoboa mapema sana
Mimi sijamkatisha tamaa! Nimetamani tu na kufanya biashara ya aina hiyo. Yenye faida kubwa ndani ya muda mfupi!

Na kama wewe nawe umefanikiwa kuzalisha faida kubwa ndani ya mwezi tu, mbona hakuna tatizo kushirikishana hiyo fursa!! Tuwekee tu mchanganuo.
 
Njoo kilombero,, Morogoro ufanye utafiti mdogo alafu uangalie biashara gani inakufaa maana uko kuna fursa nyingi Sana,,

But najua adi unapat m12 ushapanga la kufanya all in all njoo kilombero kuna fursa
Kwa faida ya wengine
Tunaomba japo fursa chache za hapo Kilombero mkuu.
 
Weka pesa yako Bond huko kwenye bank. Kaa kwa kutulia subiria kula hela yako taratibu. Miradi jumlisha na Tozo hizi unaweza lia sana.
 
Binafsi mimi naaminiii sana kwenye uuzaji wa spea used kwa jumla na rejareja, kikubwa ingia Dubai na mtu ambae anazijua spea vizuriii halafu ingia popote pale Tanzania spea inalipa sanaaa kaka yaani weka vitu miksa yaniii vya mechanic umeme wa magar pia ac za magari.

Utapata zaid ya hiyo mil 2 kwa mwezi ila uwe tu unauza kwa jumla na rejareja chap hiyo pesa unarudisha kiongozi, mimi naelewa sana kuhusu spare ndo maana nimechangia hoja hiiiii
 
Alafu faida ta spare haiozi kaka yanii spare used inalipa sanaa yaniii wengi tunafer kuanzisha biashara ya spare kwa kukopa mitaji ila spare asahv unabilishwa jina baada ya kuitwa muddy unaitwa MO ingia kwenye spare pesa ipo kaka
Mtaji mzuri wa kukuwezesha kwenda Dubai kununua mzigo ni kiasi gani kwa uzoefu wako
 
Back
Top Bottom