Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

Chukua tu million 8 chukua simu ndogo ndogo kwa ambazo sio smart phone,chukua na flash na memory then uwe unasambaza kwenye maduka ya kawaida utanishukuru sana.
 
Chukua ushauri wote ila usije ukajichanganya ukaweka pesa kwenye kilimo, utafukia hiyo hela yote.
 

Bro kama umenishawish vile, stay blessed bruv [emoji1534]
 
BADILISHA MTAZAMO WAKO KUHUSU FAIDA YA 2M KWA MWEZI HARAKA HARAKA, KUWA NA MTAZAMO KUILINDA HELA YAKO NA KUPATA FAIDA POLEPOLE INAYOKUA YA UWEKEZAJI WA BAADAYE.

1Nunua Boda bona 4 au 5 wape vijana wapige kazi, anza na kawaida na mwaka wa pili wape mkataba
2) Car Wash - tafuta eneo zuri kwa kuosha magari, nunua vifaa kama 5M, iliyobaki lipia kodi....inalipa sana
3) Fuga mbuzi kuanzia100 na kuendelea, anza na 50 baada ya miezi 6 utakuwa unauza karibu 10 kila mwezi

TAHADHARI ..... USIWE NA HARAKA
 
Muhimu sana sana: Soma hii thread niliyoweka link hapa chini:
 
[emoji3516]
MKUU,
MTAJI WA MILIONI 12,

UNATOSHA KULIPIA FREMU,
MATENGENEZO YA FREMU,
VIBALI NA
KUAGIZA MZIGO?

INTEREST IPO SANA YA HIYO BIASHARA PALE KARIAKOO,
ILA CHANGAMOTO NI KUPATA TAARIFA ZA KUTOSHA.

TUPE MWONGOZO.

Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
 
Kwa biashara ya spare ndio maana nimemwambia weka home. Aanze mwezi anafungua frame kkoo.. kwa nguo aende tu hakuna shida.
 
Hivi ukitaka frame kariakoo unamtafuta nani? sometimes naona kama frame zote zimejaaa sijawahi kuona frame ipo wazi.
Nenda katika mtaa unaotaka kuchukua frame. Na inategemea, nenda kwenye mtaa wa biashara unayoitaka.
Ukiwa huna mere mind ya unachotaka hutoona unachotaka. Kkoo ipo busy.
Ukitaka nguo nenda mtaa wa nguo frame tupu zipo nyingiiiii saaaaana.
Utashindwa wewe. Na kila mtaa una watu wake. Uliza wauza maduka au wapo wataalamu wa mambo hayo(madalali) chap unapata frame.
 
nunua Toyota IST 2 kwa million 12 kila moja jumla 24.

weka uber au mpe mkataba mtu kwa miaka 3 awe analeta hela .

hela unaiona chapu
Kwa sasa inalipa kweli hii biashara?

Kwasababu nasikiaga watu wakilalamika kuwa mambo yamebadilika siyo kama zamani... Pesa imekuwa ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…