Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

Milioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!

Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Huyu jamaa anaongea kama vile maisha ni rahisi saaaana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] angesema hata kuanzia million 30,40 ama 50 huko ndo apate hiyo million 2 ningemuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Shukran mkuu.
 
Njoo kilombero,, Morogoro ufanye utafiti mdogo alafu uangalie biashara gani inakufaa maana uko kuna fursa nyingi Sana,,

But najua adi unapat m12 ushapanga la kufanya all in all njoo kilombero kuna fursa
Kilombero kuna fursa gan zaid ya kulima tu? Orodhesha zingine tafadhali..
 
toa millioni 5 nenda mkoani,kati ya mbeya,dodoma,mwanza nenda k awe wakala wa movies baada ya mwaka rudi hapa utupe mrejesho
 
Milioni 12, halafu upate faida ya milioni 2 kwa mwezi!! Ukifanikiwa kupata hiyo biashara unishirikishe na mimi niifanye aisee!!

Hiyo faida siyo ya mchezo hata kidogo!!
Mimi mtaji wangu 5M na napata 2M kwa mwezi, kila wiki naingiza 500K
 
Million 12 uingize million 2 kwa kwezi kama faida? Mkuu acha kufurahisha genge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mil 12 haiwezi kuleta milioni 2 kwa mwezi ina maaana
Milioni 6 haziwezi kuzalisha milioni 1 kwa mwezi, ina maaana
Milioni 3 haziwezi kuzalisha laki 5 kwa mwezi, ina maana
Milioni1 na nusu haiwezi kuzalisha laki 2 na nusu ina maana
Laki 7 na nusu haiwezi kuzalisha laki 1 na 25elf kwa mwezi!!
Mbonavmimi hainiingii akilini?
Kwa mawazo ya wadau basi biashara hapa Tanzanua hazilipi.
Kwa hio laki 7 na ushee izalishe hamsini kwa mwezi?
Hebu fafanueni vipi mili 12 isizalishe milioni 2 kwa mwezi.
 
Kwa mtaji huo na kwa faida hiyo fanya chuma chakavu itakulipa sana
 

Akili kubwa sana [emoji1534]
 
Kafanye biashara na hiyo hela ulete mrejesho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kafanye biashara na hiyo hela ulete mrejesho mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ulirfanya biashara tuambie laki 750000 unapata faida sh. ngapi kwa mwezi.
Kwa mujibu wa mtoa mada 750000 anataranua apate sh 125000 kwa mwezi. Kwa mtazamo wako ndugu buashara hazilipi sasa sijui watu wanaishije huko mjini chini ya mtaji wa milioni moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…