johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Inatisha sana!Siasa haijawahi kuwa rahisi kama tunavoichukulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatisha sana!Siasa haijawahi kuwa rahisi kama tunavoichukulia.
Ukiizingatia sana unaweza usiipende.Inatisha sana!
Kwanini, kwani umeona nini mkuuPunde si punde itakuwa huku kwetu pia.
Kila mtu amechoka mkuu, kuanzia huko kwenye medani mpaka uraiani.Kwanini, kwani umeona nini mkuu
Siasa zetu ni za nguvu za hoja na siyo kupinduana au kupigana.Punde si punde itakuwa huku kwetu pia.
Waje na lumumba tuNimeangalia kupitia BBC hadi nimeogopa na kushangaa kwamba iliyofeli ni Serikali sasa ndio mshambulie Makao makuu ya Chama Tawala
Hii Dunia ina Uonezi sana
Mlale Unono 😃😃😃🔥
Nimeangalia kupitia BBC hadi nimeogopa na kushangaa kwamba iliyofeli ni Serikali sasa ndio mshambulie Makao makuu ya Chama Tawala
Hii Dunia ina Uonezi sana
Mlale Unono [emoji2][emoji2][emoji2][emoji91]
Tanzania haiwezi ktokea
Kwa hapa tz walinda mipaka ya nchi wanatuskilizia tu,tukianzishe wakae upande wa wananch
Usiote ndoto hizo huku haitatokea kamwePunde si punde itakuwa huku kwetu pia.
Sawa Mungu atusaidie lakini tukumbuke kuvuna tulichokipandaMungu atusaidie na sisi