Niger: Jeshi lapindua Serikali

Niger: Jeshi lapindua Serikali

Ni kweli sote ni ndugu, lakini wanasiasa hawaliishi hilo!
Matoke ndio kama hivyo sasa.
 
Hata Tz ukitaka reset inabidi ufanye hivyo na kukifuta kabisa
 
Kwa hapa tz walinda mipaka ya nchi wanatuskilizia tu,tukianzishe wakae upande wa wananch
 
Nimeangalia kupitia BBC hadi nimeogopa na kushangaa kwamba iliyofeli ni Serikali sasa ndio mshambulie Makao makuu ya Chama Tawala

Hii Dunia ina Uonezi sana

Mlale Unono 😃😃😃🔥
Waje na lumumba tu
 
Ripoti zinasema serikali ishapinduliwa
 
bado huyu
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    28.2 KB · Views: 2
Nimeangalia kupitia BBC hadi nimeogopa na kushangaa kwamba iliyofeli ni Serikali sasa ndio mshambulie Makao makuu ya Chama Tawala

Hii Dunia ina Uonezi sana

Mlale Unono [emoji2][emoji2][emoji2][emoji91]

Sehemu kubwa ambayo serikali ya tanzania imefanikiwa kuondoa coupé detat ni kuwaahidi wanajeshi vyeo za kisiasa

Yaan kushare national keki hvo wanakuwa desperate sana kwenye nchi

Kiukwel mapinduz kweti hayawwz tokea maana hao wanajesh wakishastaaf wanakuwa wakuu wa mikoa mabolz na kadhalik hivo wanainjoi

Kwetu sisiem na jesh na ngozi na nyama
 
Mna vihere here mnatamani machafuko ya wenzenu yawakkute cjui mnaona wao wana enjoy hizo vita..ebu tafuteni ela nchi ina amani umaskin wenu ndio unafanya muone mnaibiwa ila mama yuko vizur mnoo sema upumbav wa kisiasa unawafanya kua mazozo
 
Back
Top Bottom