Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

Nigeria: Askari atuhumiwa kumuua raia mwenye ujauzito kwa kumpiga risasi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Jeshi la Polisi limemsimamisha kazi mtuhumiwa ambaye inadaiwa alimpiga risasi Mwanamke huyo ambaye ni Mwanasheria wakati alipokuwa na familia yake wakirejea nyumbani kutoka kanisani Jijini Lagos

Askari anaitwa Drambi Vandi huku marehemu amefahamika kwa jina la Bolanle Raheem aliyekuwa na ujauzito wa Watoto pacha.

Raia wengi wakuwemo watetezi wa Haki za Binadamu wamelaani tukio hilo na kutaka haki itendeke, taasisi moja imesema itafungua kesi dhidi ya Polisi kuilipa familia ya marehemu Dola Milioni 10.

+++++

Bolanle Raheem killing: Nigerian police officer suspended

Nigeria's police chief has ordered the suspension of an officer who allegedly shot dead a female lawyer in the main city Lagos on Christmas Day.

Drambi Vandi is reported to have hit Bolanle Raheem as she and several family members were driving home from a church service.

Many Nigerians are horrified over the killing of the lawyer, who was pregnant with twins.
The Nigeria Bar Association and human rights groups have demanded justice.

The association's Lagos branch said it would institute legal action against the police to demand $10m (£8m) in compensation for Ms Raheem's family.

Her mother was quoted by local media as saying she had worked as a hawker selling oranges so that her daughter could study law.

"She was taken away from me. She was pregnant with twins," Ms Raheem's mother said, adding that she had left behind a five-year-old daughter.

Police chief Usman Alkali Baba said he would not relent in efforts to ensure justice for the lawyer and appealed to the public "to be calm".

In recent years there has been increased attention on police brutality in Nigeria.

Nationwide protests, under the banner of the #EndSars movement, led to the notorious Special Anti-Robbery Squad (Sars) being disbanded in 2020.

Source: BBC
 
Askari waonevu sana sasa mfano huyo mjamzito kamkosea nn masikin
 
Back
Top Bottom