Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Matumizi ya neno kuchinjia kwa binadamu au yawakata koo ni udhalilishaji wa utukufu wa binadamu.Maneno haya pia yanatoa dalili ya upotoshaji kutoka kwa muandishi na dalili za kutia chumvi kwa kilichotokea.Hata muanzishaji mada atakuwa akili moja na hao walioandika kwa maara ya mwanzo.
Maneno halisi yaliyozoeleka tangu zamani kuripoti majanga ya vifo vya binadamu ni watu kadhaa wameuliwa.....au baadhi yao walikufa kwa kushambuliwa na vitu vya makali. Haiwezekani kuwa watu wote hao walichinjwa na kukatwa makoo.
Huu ni unafiki kujaribu kupunguza ubaya na uzito wa tukio husika.
Kuficha ficha hakutasaidia kupata msaada wa kijeshi na intelijensia toka kwa nchi rafiki.
 
Baada ya kupata huu ujumbe wa mauaji ya huko Borno State, nilimcontact my old classmate kutaka kujuwa hatma yake na familia kule Maiduguri, bahati nzuri yeye na familia yake wako mkoa wa Adamawa alikopangiwa kazi ila kapoteza baadhi ya ndugu zake (wakristu) kwenye hayo mauaji. Serikali inasema waliokufa ni 76 ila wananchi wanadai ni zaidi ya 110 with majority being Waislam.
Acha kupotosha wote waliouliwa ni waislam. Na boko haram imesema wameua kulipiza kisasi
Narudia majority ni waislam ila kuna wakristu pia
Hakuna mkristo aliyeuawawa wewee achackuposha
 
1)CP hatungi, ananukuu kama akina Sheikh Jongo(rip) alivyokuwa ananukuu biblia.

2) ujaniambia kuwa we ni mkristo,lakin we Mkristo( speculations zangu tu) lakini kumbuka hata petro walimtambua kwa kutembea na kuongea kwake kuwa ni mwanafunzi wa Yesu.

nami najaribu kukutambua uko upande gani kwa kupitia uandishi wako na uwasilishaji wako wa hoja
Ttzo mtu akikosoa uislamu unahisi Ni mkristu
 
Back
Top Bottom