Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #121
Kwa hiyo bado hujaolewa? Hebu tuyajenge huenda ndio tumefunuliwa hivyooooNimepanic nikasema hivi Calvin ndio nani kumbe unazungumzia ule uzi wa housegirl
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo bado hujaolewa? Hebu tuyajenge huenda ndio tumefunuliwa hivyooooNimepanic nikasema hivi Calvin ndio nani kumbe unazungumzia ule uzi wa housegirl
Sio tu nimeolewa ila nina wajukuu na vitukuuKwa hiyo bado hujaolewa? Hebu tuyajenge huenda ndio tumefunuliwa hivyoooo
Basi nitakuwa mkuu wa wajukuu na vitukuu nikiwaongoza vyema ziziniSio tu nimeolewa ila nina wajukuu na vitukuu
Hivi unajielewa kweli ......!!!!Waislamu(wasuni) wanaharibu dunia.
Barikiwa sana mkuuBasi nitakuwa mkuu wa wajukuu na vitukuu nikiwaongoza vyema zizini
Nakuhurumia sana pale utapoingia Akhera afu ukute boko haram mmoja amepewa mabikra 72 wewe huna utamuomba Allah urudi duniani kupigana.Sijacheza kwasababu labda sijui ila nimechenga upuuzi wako kuhusianisha jihad na kuchinjana tu. Akili yako imestiki kwenye kuchinjana tu kwa kudhani ndio jihad.... Haluna Uislam huo. Na hao unaohisi ni waislam kwa taarifa yako tu wapo nje ya Uislam, nakukumbusha tena unawajua KHAWAARIJ. Au kwa jina jingine Kilabuun nnari (Mbwa wa motoni)
Jikite kwenye mada iliyopo...
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Kwani nakuchekesha...Kwani wapagani wa mecca hawakumuabudu Allah kabla hata Muhammad hajazaliwa?Mambo kama Tawaf unahisi Muhammad aliyatunga?Hayo mambo waliyafanya wapagani tena walizunguka kaaba uchi ila muhammad akaboresha akasema wavae nusu uchi
Au sio ningekuwa karibu ungenipiga panga sio
Yaani wewe hujui na kama ukisema hapa naacha kutumia hii IDSijacheza kwasababu labda sijui ila nimechenga upuuzi wako kuhusianisha jihad na kuchinjana tu. Akili yako imestiki kwenye kuchinjana tu kwa kudhani ndio jihad.... Haluna Uislam huo. Na hao unaohisi ni waislam kwa taarifa yako tu wapo nje ya Uislam, nakukumbusha tena unawajua KHAWAARIJ. Au kwa jina jingine Kilabuun nnari (Mbwa wa motoni)
Jikite kwenye mada iliyopo...
Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Wanaoua wenzao kwa kumpigania Mungu ndio hawajielewi ambao nahisi u mmoja wao.Hivi unajielewa kweli ......!!!!
Wanaoua wenzao kwa kumpigania Mungu ndio hawajielewi ambao nahisi u mmoja wao.
Yaishe ndugu hakuna haja ya kulumbana sana.Chief
Kwann unakuwa mwepesi katika kum atack mtu bila kufahamu usahihi...?!
Ustaarabu ni muhimu sana baina ya wenye kujitambua
Lakini wote hao waliouwawa ni WaislamuWanataka eti wawe waislam, ili iweje sasa?
Ndiyo lengo lao, yaani ni ujinga mtupu tu. Sehemu zote ambazo wamekaa hawa watu na kutawala hakuna maendeleo yeyote ni shida na vurugu tu zikiambatana na mauaji ya kinyama. Yaani watu wanaishi kama wako karne ya 7 enzi za Mohammed, hakuna internet wala maendeleo yeyote yanayomuendeleza mwanadamu, wanawake wanadharauliwa na kufanywa kuwa starehe ya mwanamme bila ridhaa yao. Mifano ipo hai kwa wale watakaobisha, angalieni Somalia, Yemen, Nigeria, Afghanstan, na sehemu zingine za kipuuzi wanapoishi hawa wasanii wa dini.Hata bongo wamebanwa tu mbavu vinginevyo hawa wasuni wangemaliza watu.
wanafuata amri ya Mohammed kwani naye alikuwa anafanya hivyo enzi zake, anavamia vijiji vya Wayahudi na kuua wanaume wote kisha yeye na wafuasi wake wanabaka wanawake. Wayahudi walipomchoka wakamuwekea sumu kwenye chakula na kumuua. Imagine, mtume wa Mwenyezi Mungu anabaka na kuua watu bila kosa lolote, hivi kweli Mungu anayataka haya?Hee ! Sasa ni lazima mtu aamini dini au afate imani unayoiamini wewe hivi kwanini waislamu wanapenda kumlazimisha mtu aamini imani yao
Ni mchanganyiko, kwani walivamiwa ili kuwashikisha adabu kwa kutishia umma. Hata Somalia, Afghanstan, Sudan ni hivyo hivyo tu, wanaua kila mtu despite their beliefs. Yote haya ni kwa sababu wanataka kutishia umma kwa kuingiza their ideologies.Lakini wote hao waliouwawa ni Waislamu
Hapana mkuu maiduguru hamna wakristo. Wote waliouawa hawakuwa mcganganyiko. Wote waislamu na walizikwa kiislamu. Kuna uzi naleta kaa stendby nitakutagNi mchanganyiko, kwani walivamiwa ili kuwashikisha adabu kwa kutishia umma. Hata Somalia, Afghanstan, Sudan ni hivyo hivyo tu, wanaua kila mtu despite their beliefs. Yote haya ni kwa sababu wanataka kutishia umma kwa kuingiza their ideologies.
Baada ya kupata huu ujumbe wa mauaji ya huko Borno State, nilimcontact my old classmate kutaka kujuwa hatma yake na familia kule Maiduguri, bahati nzuri yeye na familia yake wako mkoa wa Adamawa alikopangiwa kazi ila kapoteza baadhi ya ndugu zake (wakristu) kwenye hayo mauaji. Serikali inasema waliokufa ni 76 ila wananchi wanadai ni zaidi ya 110 with majority being Waislam.Hapana mkuu maiduguru hamna wakristo. Wote waliouawa hawakuwa mcganganyiko. Wote waislamu na walizikwa kiislamu. Kuna uzi naleta kaa stendby nitakutag
Wakiona fujo zimewaelemea wanakimbilia kwenye nchi zenye amani na huko baada ya muda wanaanza tena kutaka kuleta fujo,nawapongeza India kwa kuweka sheria ya kuwakataa wasihamie nchini mwao.Ndiyo lengo lao, yaani ni ujinga mtupu tu. Sehemu zote ambazo wamekaa hawa watu na kutawala hakuna maendeleo yeyote ni shida na vurugu tu zikiambatana na mauaji ya kinyama. Yaani watu wanaishi kama wako karne ya 7 enzi za Mohammed, hakuna internet wala maendeleo yeyote yanayomuendeleza mwanadamu, wanawake wanadharauliwa na kufanywa kuwa starehe ya mwanamme bila ridhaa yao. Mifano ipo hai kwa wale watakaobisha, angalieni Somalia, Yemen, Nigeria, Afghanstan, na sehemu zingine za kipuuzi wanapoishi hawa wasanii wa dini.
Narudia majority ni waislam ila kuna wakristu piaLakini wote hao waliouwawa ni Waislamu