Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Aagh! kwahyo tuoe tu watoto ambao hata hawajavunja ungo kwa sababu Quran imeamuru...mkuu times Change hii ni 2020 na mtu apasaye kuigwa ni Elon Musk sio an illiterate camel herder aliyeishi jangwani miaka 1000 iliyopita akinywa mikojo na kubaka watu.
Mindset set yako ni sawa na Padri wako wa Moshi aliekabaka katoto ka miaka 17.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Muislam anaejiripua, hili liko wazi na kama unaongelea jihad basi jihad sio kujiripua! Hata kujitolea kutoa elimu yenye manufaa pia nayo ni jihadi. Ndio maana kila wakati nakumbushia kitu ambacho hamkijui, mnawafahamu Khawaarij? Kwavile hamwafahamu ndio mnaona kila anaevaa kilemba ni muislam.
Huu Uislam mnaousoma kwenye mitandao ndio matatizo yake!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Jihad zipo za aina tatu zitaje.
 
Aagh! kwahyo tuoe tu watoto ambao hata hawajavunja ungo kwa sababu Quran imeamuru...mkuu times Change hii ni 2020 na mtu apasaye kuigwa ni Elon Musk sio an illiterate camel herder aliyeishi jangwani miaka 1000 iliyopita akinywa mikojo na kubaka watu.
Hata kama muda utakuwa na mabadiliko gani sheria na amri ya Mwenyezi Mungu haiwezi kubadilika hata siku moja ndio maana Quran iko vile vile na sio sawa na vitabu vyenu vyenye sheria zinazobadilika kulingana na zipi zenye manufaa na zisizo na manufaa mnaziweka kapuni!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hapa tuko kwenye motihani ya taifa, muda mwengine upunguze utoto!! Na pia hatuko kwenye session ya maswali na majibu.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu ulisema unaujua uislam sanaaa.....sasa nimekuuliza swali simple tu usiruke kama kuku asiye na shingo.

Jihad ina aina tatu...Zitaje
 
Hata kama muda utakuwa na mabadiliko gani sheria na amri ya Mwenyezi Mungu haiwezi kubadilika hata siku moja ndio maana Quran iko vile vile na sio sawa na vitabu vyenu vyenye sheria zinazobadilika kulingana na zipi zenye manufaa na zisizo na manufaa mnaziweka kapuni!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Quran ipo vile vile kivipi mbona ilishabadilishwa mara kibao...Bado tena zipo aina nyingi tu mtaani.

Sisi katiba tunazibadilisha kulingana na mahitaji ya wakati huo wa nchi.Ndomana hata hapa bongo watu wanataka katiba mpya.
Haiingii akilini mwaka 2020 mtu ukamate watu na kuwabaka kisa unafuata utaratibu wa miaka 1500 iliyopita
 
Kuna sehemu ulisema unaujua uislam sanaaa.....sasa nimekuuliza swali simple tu usiruke kama kuku asiye na shingo.

Jihad ina aina tatu...Zitaje
Fungua uzi utakaohusiana na hayo tu, hapa hakuna ulazima wa hayo kwani alieanzisha uzi ana dhana tofauti na haya unayoyaleta hapa.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Quran ipo vile vile kivipi mbona ilishabadilishwa mara kibao...Bado tena zipo aina nyingi tu mtaani.

Sisi katiba tunazibadilisha kulingana na mahitaji ya wakati huo wa nchi.Ndomana hata hapa bongo watu wanataka katiba mpya.
Haiingii akilini mwaka 2020 mtu ukamate watu na kuwabaka kisa unafuata utaratibu wa miaka 1500 iliyopita
Hizo za kwako wewe!

Amri ya M/Mungu ni tofauti na amri zenu za Kanisa, ndio maana hata ibada zetu kwa ajili ya M/Mungu ni tofauti na ibada zenu dhidi ya masanamu. Mtu na akili zako unafanya kosa kisha unakwenda kuungama kwa binadamu mwenzako unategemea nini? Kisha yeye huyo unaekwenda kuungama kwake yeye anakwenda kuungama kwa nani! Kujipa mazonge ambayo hayana maana yoyote!
Ndio maana padri unaekwenda kuungama kwake anabaka katoto ka miaka 17.
Then mnamsema Muhammad (S.A.W) wakati mnasahau hata mama yake huyo mnaemuabudu mama yake alikuwa na umri gani alipomzaa!!

Unahusiana sana maana boko haram wanafanya Jihad.
(Muda mwingine Kusema tu SIJUI sio dhambi)
Jihad sio kuua watu ambao wanaongozwa na sheria. Jihad sio kuua, jihad sio kuwaua watu wasio na hatia. Ndio maana nawakumbusha kila wakati mnawafahamu Khawaarij? Tatizo kila mnaemuona anafuga ndevu kwenu ninyi mnamuona ni muislam!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ila wenzako wanaendelea kuzisoma na Hakuna anayesema zile sio Quran wakati zinatofautiana kinyama.

Ubaya walimu wako walikuficha hili
Hakuna Qur an tofauti, labda kwa muono wako uliojaa ufedhuli na kibri ukaona kikasha cha nje lakini kilichomo ndani ni kile kile.
Juzuu ni zile zile 30
Sura ni zile zile 114
Aya ni zile zile 6236.

Tofauti na kile Likitabu lenu mnaloliamini ambalo kuna baadhi ya matoleo kuna baadhi ya vitabu vimefutwa na kuna baadhi ya matoleo kuna vitabu vimo.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Amri ya M/Mungu ni tofauti na amri zenu za Kanisa, ndio maana hata ibada zetu kwa ajili ya M/Mungu ni tofauti na ibada zenu dhidi ya masanamu. Mtu na akili zako unafanya kosa kisha unakwenda kuungama kwa binadamu mwenzako unategemea nini? Kisha yeye huyo unaekwenda kuungama kwake yeye anakwenda kuungama kwa nani! Kujipa mazonge ambayo hayana maana yoyote!
Ndio maana padri unaekwenda kuungama kwake anabaka katoto ka miaka 17.
Then mnamsema Muhammad (S.A.W) wakati mnasahau hata mama yake huyo mnaemuabudu mama yake alikuwa na umri gani alipomzaa!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Mkuu naona una bifu sana na wakatoliki...Usihofu mwenyewe siwachukii wakatoliki ila naupinga ukatoliki..Dini yangu unataka uijue ?mimi ni muAlkebulan.
ingawa si lazima mtu kuwa na dini.
Turudi kwako naomba kujua mkuu dini yako inakataza
1. Lesbianism?
2.Threesome/foursome/fivesome na wake zako?
 
Jihad sio kuua watu ambao wanaongozwa na sheria. Jihad sio kuua, jihad sio kuwaua watu wasio na hatia. Ndio maana nawakumbusha kila wakati mnawafahamu Khawaarij? Tatizo kila mnaemuona anafuga ndevu kwenu ninyi mnamuona ni muislam!!

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Jihad zipo za aina tatu..zitaje
 
Hakuna Qur an tofauti, labda kwa muono wako uliojaa ufedhuli na kibri ukaona kikasha cha nje lakini kilichomo ndani ni kile kile.
Juzuu ni zile zile 30
Sura ni zile zile 114
Aya ni zile zile 6236.

Tofauti na kile Likitabu lenu mnaloliamini ambalo kuna baadhi ya matoleo kuna baadhi ya vitabu vimefutwa na kuna baadhi ya matoleo kuna vitabu vimo.

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
Una uhakika na usemalo?
Tukimuweka Warsh na Hafs hapa hatutaona tofauti yoyote kwenye Aya?

Kitabu gani chetu sisi waAlkebukan unachokiongelea?
 
Mkuu naona una bifu sana na wakatoliki...Usihofu mwenyewe siwachukii wakatoliki ila naupinga ukatoliki..Dini yangu unataka uijue ?mimi ni muAlkebulan.
ingawa si lazima mtu kuwa na dini.
Turudi kwako naomba kujua mkuu dini yako inakataza
1. Lesbianism?
2.Threesome/foursome/fivesome na wake zako?
Sina muda wa kutaka kuijua dini yako, ndio maana siijadili wala siifuatilii kwasababu Naamini ninachokiamini na wala sipingani na mtu asieamini ninachokiamini, ila akistahi ninachokiamini nami nitastahi anachokiamini.
JADILI MADA ILIYOPO

Back
Top Bottom