Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Nigeria: Boko Haram wachinja wakulima 43

Jamii gani.?
Kuna jimii moja ya wafugaji Africa magharibi wa naitwa fulani.. ni jamii ya wafugaji hata Rahis Buhari nae ni mmoja wa Jamii hiyo.

Hii jamii imasambaa nchi zaidi ya 4..

wapo Chad

Nigeria.

Cameroon etc.
ni jamii hatari sana na ndo wapiganaji na waafadhili wa Bolo Haram na watu wengi wa
hii jamii wana ukwasi na USHAWISHI mkubwa kwenye hizo nchi.


 
Ila kuna watu Wana roho ngumu Sana.
Unaanze kumchinja binadamu mwenzako Kama kuku.
 
watanzania wanajifanya wanapenda sana vita na vitambi vyao..!


hakuna jipya chini ya jua"
 
Hivi kwanini magaidi wanaua watu kwa mwamvuli wa dini ya kiislamu na waislamu hawaonyeshi kupinga dini kuhusishwa na ugaidi na wanasema uislamu ni dini ya amani
 
Ni ukatili Tena mkubwa sana
Anas narrated:

"Some people from Urainah arrived in Al-Madinah, and they were uncomfortable (and ill from the climate). So Allah's Messenger sent them to some camels. He told them: "Drink from their milk and urine." So they killed the camel driver that Allah's Messenger sent, and they violently drove off the camels, and apostatized from Islam. So the Prophet came to them, he cut off their hands and feet on opposite side, and branded their eyes, and threw them in Al-Harrah." Anas said, "So I saw one of them working over the ground with his mouth, until they die"

" Their eyes were pierced, and they were thrown on the stony ground. They were asking for water, but they were not given water."

Grade:Sahih
Sahih Muslim The book of muhabrin 1671 c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1637235
Amnesty International tawi la Nigeria inaripoti kuwa wakulima 43 wa Kijiji cha Maiduguri kilichopo Jimbo la Borno.


Wakulima 43 wa Jimbo la Borno, Nigeria wamechinjwa katika mashamba ya mpunga, Zabarmari na kikundi cha Boko Haram

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameonesha kusikitishwa na kitendo hicho, pia katika ukurasa wake wa tiwtter ameandika kulaani mauaji hayo

Serikali ya Nigeria imefanya yote yanayowezekana kulinda nchi hiyo na watu wake, Rais amesema. Aidha shirika la kimataifa linalohusika na haki za binaadamu, Amnesty International lime laani kitend hicho

=====
Boko Haram Kills at Least 43 Farmworkers in Nigeria, Militia Says

Boko Haram fighters killed at least 43 farmworkers and injured six in rice fields near the northeast Nigerian city of Maiduguri on Saturday, anti-jihadist militia told AFP.

The assailants tied up the agricultural workers and slit their throats in the village of Koshobe, the militia said.

"We have recovered 43 dead bodies, all of them slaughtered, along with six others with serious injuries," said militia leader Babakura Kolo, who helped the survivors. "It is no doubt the handiwork of Boko Haram, who operate in the area and frequently attack farmers."

The victims were laborers from Sokoto state in northwest Nigeria, roughly 1,000 kilometers (600 miles) away, who had traveled to the northeast to find work, said Ibrahim Liman, another militiaman who gave the same toll.

"There were 60 farmers who were contracted to harvest ... the rice fields. Forty-three were slaughtered, with six injured," Liman said.

Eight others were missing, presumed to have been kidnapped by the jihadists, he said.

The bodies were taken to Zabarmari village, two kilometers away, where they would be kept ahead of burial Sunday, said resident Mala Bunu, who took part in the search-and-rescue operation.

Last month, Boko Haram militants slaughtered 22 farmers working in their irrigation fields near Maiduguri in two separate incidents.

Boko Haram and ISWAP, its IS-linked rival, have increasingly targeted loggers, herders and fishermen in their violent campaign, accusing them of spying and passing information to the military and the local militia fighting them.

At least 36,000 people have been killed in the jihadist conflict, which has displaced around 2 million people since 2009.

More: Boko Haram Kills at Least 43 Farmworkers in Nigeria, Militia Says
"WAISLAMU" siasa kali waua Wakulima 46" sasa wewe kwa namna ulivyoandika inakuwa shida kwa mtanzania mnyonge kuelewa hao Boko Harama, ukisema kundi la waislamu ambalo ni sawa na wale wa msumbiji wanaoaua watu, sawa na al shabab, uamsho nk
 
Hizo hadithi za uongo.
Ni Jambo ambalo haliwezekani mtume kuwafanya hivyo watu
Anas narrated:

"Some people from Urainah arrived in Al-Madinah, and they were uncomfortable (and ill from the climate). So Allah's Messenger sent them to some camels. He told them: "Drink from their milk and urine." So they killed the camel driver that Allah's Messenger sent, and they violently drove off the camels, and apostatized from Islam. So the Prophet came to them, he cut off their hands and feet on opposite side, and branded their eyes, and threw them in Al-Harrah." Anas said, "So I saw one of them working over the ground with his mouth, until they die"

" Their eyes were pierced, and they were thrown on the stony ground. They were asking for water, but they were not given water."

Grade:Sahih
Sahih Muslim The book of muhabrin 1671 c

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naikubali quran.ila hizo hadithi kwa kweli zimenipitia mbali..
Mimi ni muislam ambaye siamini Sana katika hadithi.
Maana baadhi ya hadithi Ni za kutunga.
Uwa sijali amepokea Nani.
interesting.
So let us be Consistent in Arguments

Hii position yako sijaiona bongo.


Kwahyo kwako nguzo tano ni zipi?Au hauna


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Christian Prince amefanya Wakristo mpende ligi sana siku hizi...
Komenti yako ya kwanza kwa MJINGA MIMI hadi hii inazihirisha ilo.
Ndo nani huyo

Halafu nani kafir?Tuheshimiane asee
Tunaanza kuitana makafir mchana kweupe
 
Ndo nani huyo

Halafu nani kafir?Tuheshimiane asee
Tunaanza kuitana makafir mchana kweupe
Mkuu wapi nimeandika kafir?.
sina kumbukumbu mara ya mwisho kumuita mtu hivyo..

nimesema CHRISTIAN PRINCE(yule jamaa anae endeshamijadala ya kidini uko YouTube) Amewefanya wakristo mpende ligi(mijadala) ya kidini tofauti na zamani.

Nipo subscribed na chaneli yake, hiyo AYA uliyoiweka hapo ni sehemu ya kazi yake uko YouTube
 
Back
Top Bottom