mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Yaani ni wapuuzi sana hawa watuWakiona fujo zimewaelemea wanakimbilia kwenye nchi zenye amani na huko baada ya muda wanaanza tena kutaka kuleta fujo,nawapongeza India kwa kuweka sheria ya kuwakataa wasihamie nchini mwao.
Huu ni unafiki kujaribu kupunguza ubaya na uzito wa tukio husika.Matumizi ya neno kuchinjia kwa binadamu au yawakata koo ni udhalilishaji wa utukufu wa binadamu.Maneno haya pia yanatoa dalili ya upotoshaji kutoka kwa muandishi na dalili za kutia chumvi kwa kilichotokea.Hata muanzishaji mada atakuwa akili moja na hao walioandika kwa maara ya mwanzo.
Maneno halisi yaliyozoeleka tangu zamani kuripoti majanga ya vifo vya binadamu ni watu kadhaa wameuliwa.....au baadhi yao walikufa kwa kushambuliwa na vitu vya makali. Haiwezekani kuwa watu wote hao walichinjwa na kukatwa makoo.
Acha kupotosha wote waliouliwa ni waislam. Na boko haram imesema wameua kulipiza kisasiBaada ya kupata huu ujumbe wa mauaji ya huko Borno State, nilimcontact my old classmate kutaka kujuwa hatma yake na familia kule Maiduguri, bahati nzuri yeye na familia yake wako mkoa wa Adamawa alikopangiwa kazi ila kapoteza baadhi ya ndugu zake (wakristu) kwenye hayo mauaji. Serikali inasema waliokufa ni 76 ila wananchi wanadai ni zaidi ya 110 with majority being Waislam.
Hakuna mkristo aliyeuawawa wewee achackuposhaNarudia majority ni waislam ila kuna wakristu pia
Eneo la Borno asilimia kubwa kama sio wote ni waislamu, wakristo wachache waliokuweko walifurushwa au kulazimika kuondoka kwa sababu ya hili kundi la boko haramu.Narudia majority ni waislam ila kuna wakristu pia
Ttzo mtu akikosoa uislamu unahisi Ni mkristu1)CP hatungi, ananukuu kama akina Sheikh Jongo(rip) alivyokuwa ananukuu biblia.
2) ujaniambia kuwa we ni mkristo,lakin we Mkristo( speculations zangu tu) lakini kumbuka hata petro walimtambua kwa kutembea na kuongea kwake kuwa ni mwanafunzi wa Yesu.
nami najaribu kukutambua uko upande gani kwa kupitia uandishi wako na uwasilishaji wako wa hoja