Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

Achana na mamb ya waislamu
 
Dunia bado inajizungusha kwenye mhimili wake, ndio maana kwingine usiku na kwingine ni mchana
 
We huoni hizo ifta zinazoandaliwa na taasisi za serikali kipindi hiki? Hicho chakula ni ibada ujue. Subiri siku ya iddi utasikia masheikh wakiongelea mambo ya siasa tupu ndio utajua hao ni wanasiasa wa jukwaa la dini
Ujue kuna mashehe halafu kuna mashehena, sasa wewe unawazungumzia mashehena na sio mashehe kiongozi. 😅
 
ndio wanasema serikali haina dini ni porojo tu, hizi dini ni milki ya serikali kindakindaki chokoza dini uone utakavyoshughulikiwa kikamilifu. Ina maana serikali haina dini rasmi, dini zote ni za serikali ina mikono yake huko
Kwa hiyo Dini sio za MUNGU...?
 
Sasa hao Wanaijeria wameswali kwa kukamilisha siku 30 au kwa kuuona mwezi...?
 
wanazingua hawa
 
Hapa kwetu lazima Eid itakuwa next week J3 na J4, yaani tar 15 and 16 April, haraka hatuna sie yakhee..!! Eid Mubarak..!!
 
Sasa hawa wanaofunga ikitokea mwezi ukaandama kabla ya siku 30 hawatavusha siku ili itimie 30? Mbona hapo itakuwa ni abrakadabra za binadamu kujiamulia siku za kufunga na Mungu hahusiki hapo
 
Sio kweli

Ansari hua wanafungua mwezi ukionekana popote,hata ukionekana chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…