Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 2,162
- 2,616
- Thread starter
- #61
Sidhani kama unakufa mkuu.Kwani ukila unakufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama unakufa mkuu.Kwani ukila unakufa?
Itakuwa ni Uyahudi kiongozi.Yesu kaja na dini gani?
Kwa hiyo ukakwama kuonekana au inakuaje mkuu...?Mwezi si ndo ule jana ulipatana na jua ulaya ama kuna mwezi mwingine?
Kesho na sisi tunakula wali mkuu 😀Tunasubiria jibu kiongozi.
Naskia huku miskitini watu wanapiga uradi kwa kwenda mbele mkuu. Kesho mpunga tu aisee. 😅Kesho na sisi tunakula wali mkuu 😀
Kwa hiyo ukakwama kuonekana au inakuaje mkuu...?
dini iliyo safiSamahani kiongozi wewe ni Dini gani mkuu...?
mkiambiwa mnaabudu ibada za sanamu/mwezi muwe mnakubali, Mungu anasibishwa vipi na mwezi ndio ibada ifanyike?Heshimu iman za wengine mkuu jaribu tumia maneno yenye staha
Lbda ndio sababu ukashindwa kufika huku on time coz ulizibwa njia mkuu.Ule ulionekana mchana kweupeee tena mkubwa kiasi cha kuliziba jua
Ni kama watu wanavyosubiria sikukuu nyingine itakapotimia muda na tarehe husika watu wanasherehekea ni kama vile huo mwezi unapofika mwezi maalum watu wanasherehekea sikukuu husika mkuu.mkiambiwa mnaabudu ibada za sanamu/mwezi muwe mnakubali, Mungu anasibishwa vipi na mwezi ndio ibada ifanyike?