Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

Nigeria: Mahakama yaanza kusikiliza Kesi ya Kupinga Ushindi wa Urais wa Abola Tinubu

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
1683553487271.gif
20230508_130044-1140x570.jpg

Kesi ilifunguliwa na waliokuwa Wagombea Urais katika Uchaguzi wa Februari 2023, Peter Obi wa chama cha Labour na Atiku Abubakar (PDP) kwa madai kuwa Tume ya Uchaguzi (INEC) ilishindwa kuweka Matokeo Mtandaoni kwa muda halisi.

Madai hayo ikiwemo ya Tume kushindwa kuwa wazi na kukiuka Sheria za Uchaguzi yalipokelewa na Mahakama huku INEC ikijitetea kuwa matokeo ucheleweshaji wa Matokeo ulisababishwa na hitilafu za kiufundi lakini yaliakisi maamuzi ya Wapiga Kura.

Matokeo hayo yalimpa ushindi Gavana wa zamani wa Lagos na Mfanyabiashara kutoka Chama Tawala cha APC, Abola Tinubu kwa 37% ya kura, Abubakar 29%, na Obi 25%. Tinubu anaratajiwa kuapishwa Mei 29, 2023.

==============

A tribunal has begun hearing a petition by several opposition candidates in Nigeria to annul Bola Tinubu's victory in February's presidential election.

Peter Obi and Atiku Abubakar are challenging Mr Tinubu's victory on several grounds - including the fact that the Independent National Electoral Commission (Inec) failed to upload the result on its website portal in real-time.

They allege that this was in breach of the Electoral Act, and Inec's promise to ensure transparency.

Inec is defending the case, saying the final result reflected the will of the electorate and delays in uploading the results were caused by technical glitches and a spike in traffic.

Mr Obi - who contested the presidency for the first time, and had been popular among young voters in the south - was in court for the start of the case.

At least three other opposition figures have thrown their weight behind the bid to overturn the result.

A verdict is not expected before Mr Tinubu's inauguration on 29 May.

He was officially declared the winner with 37% of the vote, with Mr Abubakar polling 29%, and Mr Obi 25%.

Mr Tinubu - a member of the ruling party - will succeed President Muhammadu Buhari, who is stepping down at the end of his two terms.

BBC
 
Rais mteule Bw, Ahmed Tinubu ana Uraia pacha jambo ambalo ni kinyume cha sheria kugombea Uraia ukiwa na Uraia pacha.
 
Huu utaratibu wa mtu kutangazwa mshindi wa urais kwa kupata asilimia 37 tu za kura sio sahihi kabisa, sijui ndio waingereza wanaita (The Simple Majority).

Ili mtu aonekane kweli anakubalika kwa wengi ni vema apate zaidi ya nusu ya kura zote zilizopigwa yaani (The Popular Vote).

Huu utaratibu wa mtu kutangazwa mshindi kwa kura chini ya nusu ndio Mkapa alituletea hapa kuanzia uchaguzi wa mwaka 2000 kwani alikuwa ana wasiwasi kwamba huenda asingevuka nusu ya kura zote na ndio iko kwenye katiba hii inayolalamikiwa.

Inatakiwa endapo hakuna aliyevuka nusu basi wagombea wawili wa juu waingie kwenye kinyang'anyiro cha kutafuta mshindi katika kile kinachoitwa (Run Off).
 
Ktk Marais wa bongo mkapa alipita kimbindembinde mno ktk chaguz zote mbii
 
Back
Top Bottom