Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Sasa hayo wauulize wenyewe wanaijaLabda issue ni mikataba mibovu ya uwekezaji sababu mfano sisi tuna madini mwekezaji ruksa hata kuuza yote nje kama dhahabu, Almasi nk sababu hatuna local consumption kubwa ya hayo madini lakini mfano kwa vyakula tunaxalisha nk bei ziko.chini
Mafuta Nigeria local consumption ipo.kubwa tena mno how comes wawe na hiyo.shida kuwa.mafuta yanazalishwa. Kwao halafu wanakuwa na hiyo shida wakati ni local product yenye demand kubwa
Wewe ndiye meneja wao ?Unaropoka ropoka tu km wale wanawake wa kona bar
Tunayo. Yale ya alizeti unaita nini, juice ya fursana au?!Serikali ikisema forex reserves zimeshuka kwa sababu ya bei bro kubwa ya vitu Duniani Bado Kuna wapuuzi watabisha.
Sasa Hawa wanazalisha mafuta Je, Tzn ambayo Haina mafuta.
🗑️🗑️Tunayo. Yale ya alizeti unaita nini, juice ya fursana au?!
Wewe unaonekana Huwa unapenda sana tupu ya kuku kenge weweUnapenda porojo na hoja huna ni sawa na ile mikuku inayoficha kichwa uku tupu iko wazi
Wewe unaonekana Huwa unapenda sana tupu ya kuku kenge wewe
Hata hii chuma tunayoichuma nina uhakika kabisa itakuwa haina athari kwa uchumi wetuNigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani
Na mafuta yake ni high quality
Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo
Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
Hiki ndo saa100 anatuletea na makamba kwenye ges ya mtwaraBro unajua madhara ya Ufisadi na kutowajibika?
Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani
Na mafuta yake ni high quality
Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo
Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
Asiye na akili timamu kukosa dola nani mchimbaji anayeuza dhahabu au serikali?Dhahabu iko kwenye rating ya dollar dunia nzima kila ukiamka rate ya dollar ni dhahabu sasa una dhahabu chunya, geita, kahama, katoro, singida, songea, tanga na una uhaba wa dollar utasema una akili timamu kweli, yaani congo yenye vita kwa sasa wana dollar nyingi kuliko Tanzania isio na vita ushajiuliza hilo?
Ukweli mchungu Afrika iliwahi tu kujitawala japo haikua tayari kwa hilo. Mwafrika hawezi na hataweza kujitawala.Africa
Nigeria ni corrupt country to the maximum! Kule hadi afisa polisi wa nyota tatu anaweza kukuomba rushwa airport tena kwa sauti kubwa bila woga!Sijaelewa uarabuni ziko refineries kibao za foreigners lakini hajujawahi kuona tatizo kama hilo
Bara giza....Africa
Ni ujinga wa wafanyabihashara ukivikwa taji na Serikali kwani wafanya bihashara hao hao ndo wanaunda serikali. Just imagine sukari inatengenezwa Kagera Sugar lakini bei yake ni kubwa Bukoba kuliko Dodoma. Ukiuliza heti hakuna maagent Bukoba!!!!! Bei ya sato pale Ngara ni 12,000 kwa kilo lakini ni 9,000 kwa Dar, we angalia umbali wa Dar kutoka ziwa Victoria??Nigeria ni mzalishaji mmojawapo mkubwa wa mafuta duniani
Na mafuta yake ni high quality
Aibu kuwa bei iwe kubwa hadi wafikie.hatua hiyo
Wataalamu humu Jamii Forums hebu dadavueni tatizo nini wakati wao ni producers wakubwa wa mafuta ?
AiseeeNi ujinga wa wafanyabihashara ukivikwa taji na Serikali kwani wafanya bihashara hao hao ndo wanaunda serikali. Just imagine sukari inatengenezwa Kagera Sugar lakini bei yake ni kubwa Bukoba kuliko Dodoma. Ukiuliza heti hakuna maagent Bukoba!!!!! Bei ya sato pale Ngara ni 12,000 kwa kilo lakini ni 9,000 kwa Dar, we angalia umbali wa Dar kutoka ziwa Victoria??
Waarabu njoeni tuwabinafshie siasa zetu
Usijitoe ufahamu , Crooked politicians na magenge yao ndio wanakula hizo revenues za mafuta na gas kifisadi ,Sijaelewa uarabuni ziko refineries kibao za foreigners lakini hajujawahi kuona tatizo kama hilo