2 of Amerikaz most wanted
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 1,328
- 3,718
Ameyatimba..Maskini mdada alimfanya danga huku anakibaby chake ki HB chakumuuoaa sasa kumbe ndo aliyatimba
Shida hawa dada zetu wakionaga ngozi nyeupe wanaona mtelezo tu,,,,,wazungu wamewazoesha vibaya watawahonga, kikubwa wataishia kuwaomba marinda tu ila hii side B mchina pesa yake chungu sio mzungu huyo
...tumesikiaSafi sana hii taarifa iwafikie matapeli wote