Nigeria: Mchungaji apanda madhabahuni na silaha aina ya AK-47

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.

Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.

Polisi jijini Lagos wamethibitisha kukamatwa kwa mchungaji huyo baada ya picha za tukio hilo kuzua taharuki miongoni mwa watu na uchunguzi wa sakata hilo ushaanza.

FB_IMG_1676309040029-e1676311563164.jpg

=====

Akizungumza katika hali ya utani akiwa amebeba silaha hiyo mbele ya waumini wakati akitoa mahubiri, Mchungaji Uche Aigbe amesema amefanya maamuzi hayo kwa kuwa kuna watu wana nia mbaya naye, hivyo nate amejiandaa.

Sheria ya Nigeria inaruhusu kubeba bunduki ikiwa tu umepata ruhusa ya Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Haikujulikana bunduki hiyo aliyobeba akiwa katika Kanisa la Rock Jijini Abuja ni mali yake nak ama ilikuwa na risasi. Kanisa halijatoa tamko lolote kuhusu kitendo hicho.

===========

Pastor takes AK-47 to the altar in Nigeria

"Some people are looking for my trouble. And I came here prepared," joked Pastor Uche Aigbe on Sunday as he took to the pulpit brandishing an assault rifle.

Under Nigerian law, it's only legal to carry a gun if the Inspector General of Police grants you a licence.
It's not known whether the gun the pastor carried in the House on the Rock Church in Abuja belonged to him, or if the gun was loaded. The church has not responded to requests to comment.

"Today, there are some pastors with gift of divination who go about ripping people. This is why we should carry our 'guns' and defend ourselves. I will particularly be coming very soon for some of you sleeping in the church," he told the laughing congregation on Sunday.

Source: BBC
 
Uche Aigbe.jpg

Tayari Mchungaji huyo anashikiliwa na Wanausalama, Sheria ya Nigeria inaruhusu kubeba bunduki ikiwa tu umepata ruhusa ya Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Haikujulikana bunduki hiyo aliyobeba akiwa katika Kanisa la Rock Jijini Abuja ni mali yake nak ama ilikuwa na risasi. Kanisa halijatoa tamko lolote kuhusu kitendo hicho.

===========

Pastor takes AK-47 to the altar in Nigeria

"Some people are looking for my trouble. And I came here prepared," joked Pastor Uche Aigbe on Sunday as he took to the pulpit brandishing an assault rifle.

Under Nigerian law, it's only legal to carry a gun if the Inspector General of Police grants you a licence.
It's not known whether the gun the pastor carried in the House on the Rock Church in Abuja belonged to him, or if the gun was loaded. The church has not responded to requests to comment.

"Today, there are some pastors with gift of divination who go about ripping people. This is why we should carry our 'guns' and defend ourselves. I will particularly be coming very soon for some of you sleeping in the church," he told the laughing congregation on Sunday.

============

Abuja Pastor Uche Aigbe arrested for brandishing Ak-47 rifle during sermon

Uche Aigbe, the pastor of a popular Pentecostal church in Abuja who was seen in a viral video hanging an AK-47 rifle on his shoulders, while preaching at his church, House on the Rock, last Sunday is now in police custody.

Aigbe was detained alongside one Inspector Musa Audu who handed the AK-47 to him for the purpose of illustrating his sermon on the pulpit.

Aigbe and Audu are in the custody of the Intelligence Response Team, Force Intelligence Bureau, Garki, Abuja, it was learnt.

Source: BBC
 
Kuna watu wanachezea dini watakavyo
Wengine wana halalisha Yale
Huko mwingine anakanyaga watu
Mwingine anawavua chupi
Mwingine anawalisha majani

Wengine wanataka kusafiri angani bila ndege

Yaani kila leo kuna vituko tu
 
Ni kufuatia kuchomwa moto kwa padri na mauaji yaliyokithiri Nigeria mchungaji Auch Igdbo ameishangaza jamii baada ya kuingia madhabahuni akiwa na silaha bunduki aina ya AK 47.

Nchini Nigeria mauaji katika nyumba za ibada yamekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa

USSR
FB_IMG_1676361077001.jpg
 
Sisi wahuni tunaoomba chenji hadi kwenye sadaka bado tutaendelea kuomba tu
 
Ni kufuatia kuchomwa moto kwa padri na mauaji yaliyokithiri Nigeria mchungaji Auch Igdbo ameishangaza jamii baada ya kuingia madhabahuni akiwa na silaha bunduki aina ya AK 47.

Nchini Nigeria mauaji katika nyumba za ibada yamekuwa ni jambo la kawaida kwa sasa

USSR View attachment 2517028
Yupo sahihi kabisa. Ana haki ya kulindwa lakini ni WAJIBU na HAKI yake ya kimsingi ajilinde au ajitetee mwenyewe. Mbona tulivaa barakoa makanisani na misikitini adui COVID alipotutishia uhai?
Jamii inashangaa kwa nini? Jamii hiyo itashangaa zaidi itakapofikia mahali kwamba ni mojawapo ya vigezo ukitaka kuwa madhabahuni
kama ilivyokuwa kwa barakoa.
 
Wakristo wanaijeria wapo katika hatari ya kutoweka na serikali na ipo kimya kabisa.
Ipo kimya kwasababu ni ajenda. Supreme Court ya naijeria kwasasa inapokea wakristo wengi zaidi wakiomba kubadili majina yao kutoka kuitwa Paul kuwa Yahaya ili wapate ajira na usalama wao.
Ni jambo la muda tu naijeria yote itakuwa nchi ya kiislam.
 
Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.

Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.

Polisi jijini Lagos wamethibitisha kukamatwa kwa mchungaji huyo baada ya picha za tukio hilo kuzua taharuki miongoni mwa watu na uchunguzi wa sakata hilo ushaanza.

=====

Akizungumza katika hali ya utani akiwa amebeba silaha hiyo mbele ya waumini wakati akitoa mahubiri, Mchungaji Uche Aigbe amesema amefanya maamuzi hayo kwa kuwa kuna watu wana nia mbaya naye, hivyo nate amejiandaa.

Sheria ya Nigeria inaruhusu kubeba bunduki ikiwa tu umepata ruhusa ya Mkuu wa Jeshi la Polisi.

Haikujulikana bunduki hiyo aliyobeba akiwa katika Kanisa la Rock Jijini Abuja ni mali yake nak ama ilikuwa na risasi. Kanisa halijatoa tamko lolote kuhusu kitendo hicho.

===========

Pastor takes AK-47 to the altar in Nigeria

"Some people are looking for my trouble. And I came here prepared," joked Pastor Uche Aigbe on Sunday as he took to the pulpit brandishing an assault rifle.

Under Nigerian law, it's only legal to carry a gun if the Inspector General of Police grants you a licence.
It's not known whether the gun the pastor carried in the House on the Rock Church in Abuja belonged to him, or if the gun was loaded. The church has not responded to requests to comment.

"Today, there are some pastors with gift of divination who go about ripping people. This is why we should carry our 'guns' and defend ourselves. I will particularly be coming very soon for some of you sleeping in the church," he told the laughing congregation on Sunday.

Source: BBC
Yesu hakubeba silaha Ila Petro tu aliye msembua sikio mjivuni!
 
Back
Top Bottom