dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
somebody lied I got a chopper in the car“AK-47 is ma f*ckin address”.-Mula
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
somebody lied I got a chopper in the car“AK-47 is ma f*ckin address”.-Mula
Soon they will say u carry kamikaze dronessomebody lied I got a chopper in the car
somebody lied I got a chopper in the car
Angekuwa wa Boko Haram usingeongea wala kuonekana kwenye huu uzi, watu kwa unafiki tu hamjambo.Huyu GAIDI kama MAGAIDI wengine kwakile nilichokisikia BBC
Huyu anastahili kunyongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Licha ya kuwa na wasomi wengi, Nigeria ndiyo taifa lililoharibiwa sana na dini zote mbili za middle eastPolisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.
Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.
Polisi jijini Lagos wamethibitisha kukamatwa kwa mchungaji huyo baada ya picha za tukio hilo kuzua taharuki miongoni mwa watu na uchunguzi wa sakata hilo ushaanza.
=====
Akizungumza katika hali ya utani akiwa amebeba silaha hiyo mbele ya waumini wakati akitoa mahubiri, Mchungaji Uche Aigbe amesema amefanya maamuzi hayo kwa kuwa kuna watu wana nia mbaya naye, hivyo nate amejiandaa.
Sheria ya Nigeria inaruhusu kubeba bunduki ikiwa tu umepata ruhusa ya Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Haikujulikana bunduki hiyo aliyobeba akiwa katika Kanisa la Rock Jijini Abuja ni mali yake nak ama ilikuwa na risasi. Kanisa halijatoa tamko lolote kuhusu kitendo hicho.
===========
Pastor takes AK-47 to the altar in Nigeria
"Some people are looking for my trouble. And I came here prepared," joked Pastor Uche Aigbe on Sunday as he took to the pulpit brandishing an assault rifle.
Under Nigerian law, it's only legal to carry a gun if the Inspector General of Police grants you a licence.
It's not known whether the gun the pastor carried in the House on the Rock Church in Abuja belonged to him, or if the gun was loaded. The church has not responded to requests to comment.
"Today, there are some pastors with gift of divination who go about ripping people. This is why we should carry our 'guns' and defend ourselves. I will particularly be coming very soon for some of you sleeping in the church," he told the laughing congregation on Sunday.
Source: BBC
Wakati unavaa barakoa Mungu wako alikuwa kajificha au nae alikuwa kavaa barakoa?
Kwa fujo za kidini zilizopo hapo Nigeria ni sawa tu, tena alipaswa aongezewe na bomu la kurusha kwa mkono.Polisi nchini Nigeria wanamshikiria mchungaji wa kanisa la 'House on the rock' kwa kupanda madhabahuni na bunduki aina ya Ak-47.
Mchungaji huyo anayetambulika kwa jina la Uche Aigbe alitenda kosa hilo mnamo tarehe 13 februari 2023 katika misa ya pili ya kanisa hilo.
Polisi jijini Lagos wamethibitisha kukamatwa kwa mchungaji huyo baada ya picha za tukio hilo kuzua taharuki miongoni mwa watu na uchunguzi wa sakata hilo ushaanza.
=====
Akizungumza katika hali ya utani akiwa amebeba silaha hiyo mbele ya waumini wakati akitoa mahubiri, Mchungaji Uche Aigbe amesema amefanya maamuzi hayo kwa kuwa kuna watu wana nia mbaya naye, hivyo nate amejiandaa.
Sheria ya Nigeria inaruhusu kubeba bunduki ikiwa tu umepata ruhusa ya Mkuu wa Jeshi la Polisi.
Haikujulikana bunduki hiyo aliyobeba akiwa katika Kanisa la Rock Jijini Abuja ni mali yake nak ama ilikuwa na risasi. Kanisa halijatoa tamko lolote kuhusu kitendo hicho.
===========
Pastor takes AK-47 to the altar in Nigeria
"Some people are looking for my trouble. And I came here prepared," joked Pastor Uche Aigbe on Sunday as he took to the pulpit brandishing an assault rifle.
Under Nigerian law, it's only legal to carry a gun if the Inspector General of Police grants you a licence.
It's not known whether the gun the pastor carried in the House on the Rock Church in Abuja belonged to him, or if the gun was loaded. The church has not responded to requests to comment.
"Today, there are some pastors with gift of divination who go about ripping people. This is why we should carry our 'guns' and defend ourselves. I will particularly be coming very soon for some of you sleeping in the church," he told the laughing congregation on Sunday.
Source: BBC
Khakhakhaaaa! Mchungaji feki hamuamini Mungu anaemuhubiri