Nigeria: Mchungaji awauzia mchuzi wadada wasioshika mimba

Nigeria: Mchungaji awauzia mchuzi wadada wasioshika mimba

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Mchungaji nchini nigeria anawapika wanaume kisha mchuzi wake wanakunywa wadada wanao kosa mimba ili wapate mimba😂😀🙌
FB_IMG_1686578814520.jpg
FB_IMG_1686578811837.jpg
 
Wakristo akili zenu haziko sawa hata kidogo
hao wanaolaghaiwa kwa imani hizo si wakristo, wakristo always wanafundishwa kutambua na kujiepusha na imani potofu zinazofanana na ukristo. Kama tu mkristo kukimbilia kwa waganga wa kienyeji kutatua matatizo yao ni ngumu why akimbilie kwa wahubiri feki? Hawa wanaorubunika ni jamii ya watu wasiokuwa wakristo na hawana imani ya kikristo
 
Back
Top Bottom