Nigeria: Mchungaji awauzia mchuzi wadada wasioshika mimba

Nigeria: Mchungaji awauzia mchuzi wadada wasioshika mimba

Hahaaaa, tumeingia juu ya msingi wa mitume na manabii na Yesu mwenyewe ndio jiwe kuu la pembeni. Pia tumeahidiwa kuwa "Tumejengwa kwenye mwamba imara na hata malango ya kuzimu hayatatushinda".

Sasa hivi watu wanajiokotea picha tu mtandaoni na kusema mchungaji/kanisa. Mtu akivaa suti tu na akiwa anafanya mambo ya hovyo watasema kanisa/mchungaji. Sasa kama hii picha utaprove vipi huyo ni mchungaji?
 
1686169606095.gif
 
mi mwenyewe jana jumapili nilivaa suti nyeusi njia nzima naitwa mchungaji na kila mpita njia, ikabidi nione aibu kupewa sifa ambazo sikuwa nazo
 
hahaha, kudadeki hao wadada watakao kunywa huo mchuzi alimopikwa huyo chibedeye, watazaa watoto walokomaa kichwa ka huyo jamaa.hahaha yajayo yana furahisha kweli.
 
unataka kusema kwenye uislam unaouamini wewe kuwa ndiyo dini ya kweli hakuna abrakadabra? Mbona hata uislam kuna mambo ambayo ni utata mtupu usiaminika
Niliwaona pale Dakawa Morogoro, kulikuwa na shehe Sharif mmoja anawatoa majini waislam kwa kuwashikisha kitambaa cheupe chenye mafuta pia akawa anawang'ata na meno kwenye vidole vya mikono yao eti ndio pepo linatoka.
 
waislam hawapaswi kuwanyooshea kidole wakristo kunapotokea imani potofu hata kwao upotofu upo
 
Binadamu hatun akili kama tunavyoaminishana. Hata wewe ukiwa na ujasiri unaweza wadanganya chochote na ukapiga pesa.
 
Wateja wengi wa huo mchuzi ni waislam lakini,angalia Mfano Kwa mwamposa waislam wanaongoza Kwa shuhuda

Hao wanaotoa ushuhuda wanapangwa tu
Huwenda hata siyo waisilamu , mavazi yasikuchanganye
 
ni kweli waislam ndio huwa wengi kwa abrakadabra hizi. Waislam hawana elimu ya mafundisho ya kikristo ndio maana hunaswa kirahisi kwenye imani potofu

Ulishawah kusikia msikiti una mambo kama hayo
 
Back
Top Bottom