njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wazungu wapo,Kuna yule mwenzake wa USA Kila siku nae anaanguka tuWaafrica na madaraka.....hatari
Pole zake
Raisi anaangaiaka na manguo ya urembo. Badala ya kuvaaa nguo za kazi suti, na nguo za kikazi.Kaingia tu nchi imeporomoka kiuchumi kutoka namba 1 mpaka 4
Wanadhani uraisi ni lelemama!