Nigeria: Waislamu 20 wakamatwa kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea mwezi mzima.

1741083673518.png
Aminudeen amesema hatua hiyo inalenga kudumisha heshima ya Ramadhan kwani Waislamu wanapaswa kufunga kuanzia alfajiri hadi jua linapozama pia ameeleza kuwa wale waliokamatwa tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Sharia kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mbali na hilo Polisi wa kiisalmu wa Hisbah pia wamewakamata Watu waliovaa mavazi yanayokiuka maadili ya Kiislamu wakiwemo waliokuwa na nywele zisizoruhusiwa na Madereva wa Bajaji waliowachanganya Abiria wa jinsia tofauti.

Mfumo wa Sharia umeendelea kutumika katika baadhi ya majimbo ya kaskazini mwa Nigeria kwa Waislamu tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka 20 iliyopita.

==
The Islamic police in the northern Nigerian state of Kano have arrested Muslims seen eating and drinking publicly, as well as those selling food at the start of Ramadan, when Muslims are supposed to fast from dawn until dusk.

The deputy commander of the Hisbah, Mujahid Aminudeen, told the BBC that 20 people had been arrested for not fasting and five for selling food, and that the operations would continue throughout the month, which began on Saturday.

"It is important to note that we don't concern ourselves with non-Muslims," he said.

Mr Aminudeen said any "disrespect" for Ramadan would not be condoned.

"It's heart-breaking that in such a holy month meant for fasting, adult Muslims would be seen eating and drinking publicly. We won't condone that and that's why we went out to make arrests," he said.

He said all 25 had been charged in a Sharia court and would be punished accordingly.

The Hisbah official added that they sometimes get tip-offs when people are seen eating.

"We do get calls from people who are enraged after seeing people eating in public and we act fast by going to the area to make arrests."

He also confirmed the arrest of other people who were seen with "inappropriate haircuts", wearing shorts above the knee and tricycle drivers mixing male and female passengers.

Last year, those arrested for not fasting were freed after promising to fast, while the relatives or guardians of some of them were summoned and ordered to monitor them to make sure they fast.

Those arrested this year were not so lucky as they will have to face the court.

Just over two decades ago, Sharia, or Islamic law, was introduced to work alongside secular law in 12 of Nigeria's northern states that have a majority Muslim population. Sharia does not apply to the Christian minorities living in the states.

Ramadan, the ninth month of the Islamic calendar, has a special significance in Islam.

It is during this month that Muslims believe the first verses of the Quran - Islam's holy book - were revealed to Prophet Muhammad.

Fasting is one of the Five Pillars of Islam, which lay the basis for how Muslims are required to live their lives. The fast is observed during daylight hours.

Ramadan usually last 29 or 30 days, and is expected to end on Sunday 30 March.

Source: BBC
 
Utadhani wao ndio wanaomuumba mtu, unamcha Mungu spiritually na sio physically. Naweza nikawepo Kila Ibada nikafunga Ila moyoni ni kwa shinikizo tu. Basi waumbe na watu wawapangie cha kufanya,jiulize why waarabu wanakimbia mno nchi zao na kutafuta mahala penye uhuru,mie sidhani Kama Maisha na Mungu wetu ni magumu kiasi icho
 
Mbona sasa imekuwa ni kulazimishana na kinacho nitia mashaka na hizi dini ni kwamba kwa nini wasiache Mungu ndio akuadhibu kama kweli wanaamini yupo..!!??
 
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea mwezi mzima.

Aminudeen amesema hatua hiyo inalenga kudumisha heshima ya Ramadhan kwani Waislamu wanapaswa kufunga kuanzia alfajiri hadi jua linapozama pia ameeleza kuwa wale waliokamatwa tayari wamefikishwa katika Mahakama ya Sharia kwa ajili ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Mbali na hilo Polisi wa kiisalmu wa Hisbah pia wamewakamata Watu waliovaa mavazi yanayokiuka maadili ya Kiislamu wakiwemo waliokuwa na nywele zisizoruhusiwa na Madereva wa Bajaji waliowachanganya Abiria wa jinsia tofauti.

Mfumo wa Sharia umeendelea kutumika katika baadhi ya majimbo ya kaskazini mwa Nigeria kwa Waislamu tangu kuanzishwa kwake zaidi ya miaka 20 iliyopita.

==
The Islamic police in the northern Nigerian state of Kano have arrested Muslims seen eating and drinking publicly, as well as those selling food at the start of Ramadan, when Muslims are supposed to fast from dawn until dusk.

The deputy commander of the Hisbah, Mujahid Aminudeen, told the BBC that 20 people had been arrested for not fasting and five for selling food, and that the operations would continue throughout the month, which began on Saturday.

"It is important to note that we don't concern ourselves with non-Muslims," he said.

Mr Aminudeen said any "disrespect" for Ramadan would not be condoned.

"It's heart-breaking that in such a holy month meant for fasting, adult Muslims would be seen eating and drinking publicly. We won't condone that and that's why we went out to make arrests," he said.

He said all 25 had been charged in a Sharia court and would be punished accordingly.

The Hisbah official added that they sometimes get tip-offs when people are seen eating.

"We do get calls from people who are enraged after seeing people eating in public and we act fast by going to the area to make arrests."

He also confirmed the arrest of other people who were seen with "inappropriate haircuts", wearing shorts above the knee and tricycle drivers mixing male and female passengers.

Last year, those arrested for not fasting were freed after promising to fast, while the relatives or guardians of some of them were summoned and ordered to monitor them to make sure they fast.

Those arrested this year were not so lucky as they will have to face the court.

Just over two decades ago, Sharia, or Islamic law, was introduced to work alongside secular law in 12 of Nigeria's northern states that have a majority Muslim population. Sharia does not apply to the Christian minorities living in the states.

Ramadan, the ninth month of the Islamic calendar, has a special significance in Islam.

It is during this month that Muslims believe the first verses of the Quran - Islam's holy book - were revealed to Prophet Muhammad.

Fasting is one of the Five Pillars of Islam, which lay the basis for how Muslims are required to live their lives. The fast is observed during daylight hours.

Ramadan usually last 29 or 30 days, and is expected to end on Sunday 30 March.

Source: BBC
Hii dini inatumia nguvu kubwa sana kulazimisha watu kwenda nao wote peponi! Kwani wakienda wachache wanaopenda kwa hiyari yao, patakuwa hapachangamki!!?
 
Wamezingua sana hawa wakulungwa. Hadi wapigwe bakora ndiyo waelewe hawapaswi kula wakati wa mchana kwenye mwezi mtukufu🤣🤣
 
Kama mtu kamkosea Mungu si ni yeye Mungu ndiye anatoa adhabu...!!!?? Sasa hii ya binadamu mwingine eti ndiye anayeadhibu inatoka wapi..!?

Ni yaleyale ya makuhani wakuu na mafarisayo na ndio maana wengine tunakataa kwamba hizi sio dini bali ni tamaduni za watu tu zikijiita dini ili kuhadaa wajinga.
 
Mkuu bila bakora hawa wengine hawaelewi. Dawa ni bakora tu
 
Back
Top Bottom