CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa.
Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko China, nazani kulitokea Mugogoro wa Kibiashara.Serikali ya Nigeria ikabidi waje na Sheria kari sana ya kulazimisha Miller zote shariti wachanganya muhogo na mahindi kwenye kusaga unga wa mahindi wa kuuza.
Hii ilikuwa ni lazima na Kampuni isio taka ifunge Biashara, Hii ilifanya Muhogo ukapata soko kubwa sana la ndani na hivyo kuwafanya wakulima kuendelea kupata Faida.
Kuna Sheria yao pia wanataka wanao process ngano Nigeria shariti wachanganye na Muhogo kwa % kadhaaa sio ombi ni sheria.
Sisi tunahangaika na Ngano ya kula wakati tuna mihogo, na mihogo inafanya kazi za unga wa ngano. Mihogo ingeweza changanywa na ngano kwenye processing na tungeshuhudia soko zuri sana la muhogo Tanzania.
Bit nani anaweza simamia hilo? Ujue some tome bila kuchukua hatua gumu hakuna Mapinduzi tutakayo fikia kwenye kilimo.