Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

Nigeria wanafanikiwa kwenye Kilimo kwa sababu huwa wanafanya maamuzi Magumu sana

Maskini mvivu hujaa miwazo kibao asiyofanyia kazi

Si uifanyie kazi hiyo miwazo yako utajirike
Ana mtaji kweli? Au lawama tu kwa Serikali. Huyo ni sawa na wale jamaa wa nadharia/business modal kibao darasani ila ku-implement theories into practice is miracle.
 
Mchango wa uchumi sio sawa na bajeti... bajeti ya serikali ni sehemu tu ya uchumi na sio pato zima la taifa. Kuna sekta zina mchango wenye thamani kubwa zaidi ya bajeti ya serikali kwenye uchumi wa nchi!
Anaelewa/ataelewa ulichokisema professionaly hivi kweli?
 
Mchango wa uchumi sio sawa na bajeti... bajeti ya serikali ni sehemu tu ya uchumi na sio pato zima la taifa. Kuna sekta zina mchango wenye thamani kubwa zaidi ya bajeti ya serikali kwenye uchumi wa nchi!
Achaneni nae huyo. Siyo kosa lake. Ana upungufu wa akili kichwani, na mbaya zaidi hayupo tayari kuelimishwa
 
Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa.

Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko China, nazani kulitokea Mugogoro wa Kibiashara.Serikali ya Nigeria ikabidi waje na Sheria kari sana ya kulazimisha Miller zote shariti wachanganya muhogo na mahindi kwenye kusaga unga wa mahindi wa kuuza.

Hii ilikuwa ni lazima na Kampuni isio taka ifunge Biashara, Hii ilifanya Muhogo ukapata soko kubwa sana la ndani na hivyo kuwafanya wakulima kuendelea kupata Faida.

Kuna Sheria yao pia wanataka wanao process ngano Nigeria shariti wachanganye na Muhogo kwa % kadhaaa sio ombi ni sheria.

Sisi tunahangaika na Ngano ya kula wakati tuna mihogo, na mihogo inafanya kazi za unga wa ngano. Mihogo ingeweza changanywa na ngano kwenye processing na tungeshuhudia soko zuri sana la muhogo Tanzania.

Bit nani anaweza simamia hilo? Ujue some tome bila kuchukua hatua gumu hakuna Mapinduzi tutakayo fikia kwenye kilimo.
Wewe unaona ni haki kuwalazimisha watu kula hata wasichopenda(muhogo+ngano) na hii sheria ingekuja huku unavyofikiri wewe ingeshangiliwa au Rais angeonekana dikteta?
 
Wewe unaona ni haki kuwalazimisha watu kula hata wasichopenda(muhogo+ngano) na hii sheria ingekuja huku unavyofikiri wewe ingeshangiliwa au Rais angeonekana dikteta?
Tungelalamika baadae tungezoea ndio watanzania tulivyo
 
Ni wazo zuri, ili kuongeza soko la ndani. Na kiujumla soko kwa mkulima lisiyumbeyumbe kupunguza risk zisizo na msingi.

Kutegemea soko la nje tu kunapunguza wakulima ari mfano mzuri ni suala la mahindi mwaka ule
 
Kwani tajiri namba moja Afrika anatokea wapi? ujue naijeria si bongo, bongo hakuna kufikiri ni kutenda tu yaleyale yalioachwa na wazee wa zamani akina nyerere na wakoloni.
Usitegemee mambo makubwa kutokea Tanzania katika kizazi hiki.
Kwa kweli
images (22).jpeg
 
Back
Top Bottom