namanga-kitonga
JF-Expert Member
- Feb 4, 2020
- 679
- 744
Ana mtaji kweli? Au lawama tu kwa Serikali. Huyo ni sawa na wale jamaa wa nadharia/business modal kibao darasani ila ku-implement theories into practice is miracle.Maskini mvivu hujaa miwazo kibao asiyofanyia kazi
Si uifanyie kazi hiyo miwazo yako utajirike
[emoji3][emoji3][emoji3]Maskini mvivu hujaa miwazo kibao asiyofanyia kazi
Si uifanyie kazi hiyo miwazo yako utajirike
Umempa za uso.We ni mpumbavu!
Eti ni dola billion 90. Bajeti ya Nigeria haizidi Dollar billion 30 na hapo mikopo kibao kwenye hiyo bajeti.
Anaelewa/ataelewa ulichokisema professionaly hivi kweli?Mchango wa uchumi sio sawa na bajeti... bajeti ya serikali ni sehemu tu ya uchumi na sio pato zima la taifa. Kuna sekta zina mchango wenye thamani kubwa zaidi ya bajeti ya serikali kwenye uchumi wa nchi!
Achaneni nae huyo. Siyo kosa lake. Ana upungufu wa akili kichwani, na mbaya zaidi hayupo tayari kuelimishwaMchango wa uchumi sio sawa na bajeti... bajeti ya serikali ni sehemu tu ya uchumi na sio pato zima la taifa. Kuna sekta zina mchango wenye thamani kubwa zaidi ya bajeti ya serikali kwenye uchumi wa nchi!
una elewa mdogo sana kinacho kusaidia ni matusi, ukiondoa matusi basi huna unacho andika humuWe ni mpumbavu!
Eti ni dola billion 90. Bajeti ya Nigeria haizidi Dollar billion 30 na hapo mikopo kibao kwenye hiyo bajeti.
Wewe unaona ni haki kuwalazimisha watu kula hata wasichopenda(muhogo+ngano) na hii sheria ingekuja huku unavyofikiri wewe ingeshangiliwa au Rais angeonekana dikteta?Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa.
Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko China, nazani kulitokea Mugogoro wa Kibiashara.Serikali ya Nigeria ikabidi waje na Sheria kari sana ya kulazimisha Miller zote shariti wachanganya muhogo na mahindi kwenye kusaga unga wa mahindi wa kuuza.
Hii ilikuwa ni lazima na Kampuni isio taka ifunge Biashara, Hii ilifanya Muhogo ukapata soko kubwa sana la ndani na hivyo kuwafanya wakulima kuendelea kupata Faida.
Kuna Sheria yao pia wanataka wanao process ngano Nigeria shariti wachanganye na Muhogo kwa % kadhaaa sio ombi ni sheria.
Sisi tunahangaika na Ngano ya kula wakati tuna mihogo, na mihogo inafanya kazi za unga wa ngano. Mihogo ingeweza changanywa na ngano kwenye processing na tungeshuhudia soko zuri sana la muhogo Tanzania.
Bit nani anaweza simamia hilo? Ujue some tome bila kuchukua hatua gumu hakuna Mapinduzi tutakayo fikia kwenye kilimo.
Tungelalamika baadae tungezoea ndio watanzania tulivyoWewe unaona ni haki kuwalazimisha watu kula hata wasichopenda(muhogo+ngano) na hii sheria ingekuja huku unavyofikiri wewe ingeshangiliwa au Rais angeonekana dikteta?
Msikie huyu naye[emoji23][emoji23]Wewe unaona ni haki kuwalazimisha watu kula hata wasichopenda(muhogo+ngano) na hii sheria ingekuja huku unavyofikiri wewe ingeshangiliwa au Rais angeonekana dikteta?
Kwa kweliKwani tajiri namba moja Afrika anatokea wapi? ujue naijeria si bongo, bongo hakuna kufikiri ni kutenda tu yaleyale yalioachwa na wazee wa zamani akina nyerere na wakoloni.
Usitegemee mambo makubwa kutokea Tanzania katika kizazi hiki.
Alimwambia Mama January.Kwa kweli
View attachment 2607947
Alimwambia nn mkuuAlimwambia Mama January.