Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

Usipende kuleta siasa kwenye imani. Uliyoandika hapo ni hadithi za kusadikika. Kimsingi hizi ni imani mbili tofauti na vitabu tofauti vyenye maamrisho na mafundisho tofauti.

Sijui kwa nini unataka kulazimisha zikae kundi moja kana kwamba ni zinafanana.

Kama waliokamatwa ni waislam na wako sehemu inaendeshwa kwa sharia sioni shida. Ila wangekamatwa watu wa imani nyingine ambao Ramadan haiwahusu then hapo kungekuwa na tatizo!
 
Hivi kwa nini hii dini baadhi ya waumini wake wana chuki sana mioyoni? Sasa mtu akila si ni kesi yake na Mwenyezi Mungu? iweje sasa wamuhuku na kumlazimisha kuabudu? Kwani Mungu usipofubga yeye anapungukiwa nini?
 
Hivi kwa nini hii dini baadhi ya waumini wake wana chuki sana mioyoni? Sasa mtu akila si ni kesi yake na Mwenyezi Mungu? iweje sasa wamuhuku na kumlazimisha kuabudu? Kwani Mungu usipofubga yeye anapungukiwa nini?
Hata mimi nina shangaa mkuu.
 
Siwezi kuwa na adabu kwenye dini za kijinga kama hizo. Na hayo yote ni matokeo ya kutokwenda shule. Kuwa kwenye imani ya dini fulani ni lazima? Yaan wameweka na askari kabisa sasa huo ni ugaidi kabisa.

Hawa jamaa wangekuwa wengi kama wakristo, dunia hii ingekuwa ina machafuko sana. Vita ingekuwa vingi kila kona. Ungesikia makanisa yamechomwa moto, mapadri na wachungaji wamemwagiwa tindikali. Ukikutwa unakula kwenye mfungo wa Ramadhani unakamatwa kama hao jamaa na kuchapwa viboko.

Huwa namwelewa sana Mchina. Hao jamaa wanamatatizo ya akili sana. Wakiwa wengi tu ni kosa kubwa sana ni kama virus
Johnny Impact kuwa na adabu, na heshimu imani za watu! Unaposema uislamu ni ugaidi unakosea sana..

Pumzi inakuhadaa, kuwa makini na kauli zako!
 
Shida ya hao jamaa ni shule inawasumbua. Kama kiongozi wao alikuwa hajui kusoma na kuandika wao ndiyo wataweza?

Ukimletea hicho kitabu ukamwambia asome, atakutolea macho tu lkn yupo busy kutetea dini yao na matokeo yake ni kama hayo.
Hao hawana elimu yoyote. Ukisoma unafuta ujinga mwingi sana kama huo.

Waambieni waje wakamate na Mimi hapa muda huu napata chakula cha mchana

Upuuzi wa imani huu

View attachment 1754546
 
[emoji16][emoji16]. kwanini mnatuchukia waislam ?.tumewakosea nini?.
Mbona hata wakristo nao wanafanya.
Kuna dada Huku kitaa ana makalio makubwa anasema hapendi waislam.
Sijui waislam walimfanya nini
[emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16]
 
Mungu utaenda kukutana nae ukifa, mtaenda kuulizana vizuri.

Sababu za wewe kuacha kufunga uenda ukawa na sababu zenye mashiko.

Ila kwa hapa duniani raia hawawezi kukuelewa.basi jifiche ndani kwako.

Kwa hiyo usijionyeshe kwa wanadamu au kwa Mungu?
 
[emoji16][emoji16]. kwanini mnatuchukia waislam ?.tumewakosea nini?.
Mbona hata wakristo nao wanafanya.
Kuna dada Huku kitaa ana makalio makubwa anasema hapendi waislam.
Sijui waislam walimfanya nini
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Nakuonya tabia ya kukejeri dini za watu bro bro nakuonya nitaharibu kila unachokipenda kwe simu nakuonya tena sijasoma (IT) hapa tanzania mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…