Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
hio ni general mzeeSi unaona Sasa hata vitu vya kweli mnapinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hio ni general mzeeSi unaona Sasa hata vitu vya kweli mnapinga!
Hujaelewa.Usipende kuleta siasa kwenye imani. Uliyoandika hapo ni hadithi za kusadikika. Kimsingi hizi ni imani mbili tofauti na vitabu tofauti vyenye maamrisho na mafundisho tofauti.
Sijui kwa nini unataka kulazimisha zikae kundi moja kana kwamba ni zinafanana.
Kama waliokamatwa ni waislam na wako sehemu inaendeshwa kwa sharia sioni shida. Ila wangekamatwa watu wa imani nyingine ambao Ramadan haiwahusu then hapo kungekuwa na tatizo!
Mzee tuliza hasira, una uhakika gani yeye kasomea IT hapa Tanzania.nakuonya tabia ya kukejeri dini za watu bro bro nakuonya nitaharibu kila unachokipenda kwe simu nakuonya tena sijasoma (IT) hapa tanzania mimi
Unaijua sharia? Mtu akiiba kwa Wakristo hakuna adhabu prescribed zaidi ya Civilian court au usamehe tu. Sasa jaribu kuiba under sharia!Hujaelewa.
Uislamu unakubali kuwa kuna uhuru wa kuichagua pepo au kuchagua moto, kwanini mtu alazimishwe kutenda mema kama hapo anapolazimishwa kufunga?
Hata ukristo umejengwa katika msingi wa free will, kuna mtu alishawahi kulazimishwa afunge mwezi wa kwaresma?