Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

Nigeria: Watu nane wakamatwa na Polisi kwa kosa la kula mchana mwezi wa Ramadhani

Nashauri dini zisitumie nguvu, Mimi huwa nikiiona dinI inatumia nguvu naanza kutilia Shaka Mungu wanaemwamini naona nitofauti Sana na Mungu ninaemwamini.
Dini inayolazimisha Jambo lolote inasababisha watu wawe wanafiki wasiwe na uhalisia wao na hiyo mbingu wasiione.
 
Hiyo siyo dini sasa ni serikali kabisa tena ya kiimla. Je kama ameamua kuachana na hiyo "dini" kuanzia siku hiyo au bado atauwawa kwa kukufuru.

Sasa kama ni hivyo si afadhali kuachana tu na hizo dini ili uwe huru na amani vilevile kwani ndio hautaingia mbinguni kwani hiyo mbingu ni yao.
 
Usipende kuleta siasa kwenye imani. Uliyoandika hapo ni hadithi za kusadikika. Kimsingi hizi ni imani mbili tofauti na vitabu tofauti vyenye maamrisho na mafundisho tofauti.

Sijui kwa nini unataka kulazimisha zikae kundi moja kana kwamba ni zinafanana.

Kama waliokamatwa ni waislam na wako sehemu inaendeshwa kwa sharia sioni shida. Ila wangekamatwa watu wa imani nyingine ambao Ramadan haiwahusu then hapo kungekuwa na tatizo!
Hujaelewa.

Uislamu unakubali kuwa kuna uhuru wa kuichagua pepo au kuchagua moto, kwanini mtu alazimishwe kutenda mema kama hapo anapolazimishwa kufunga?

Hata ukristo umejengwa katika msingi wa free will, kuna mtu alishawahi kulazimishwa afunge mwezi wa kwaresma?
 
Unaijua sharia? Mtu akiiba kwa Wakristo hakuna adhabu prescribed zaidi ya Civilian court au usamehe tu. Sasa jaribu kuiba under sharia!

Point yangu ni hii, hizi dini hazifanani. Hata tafsiri ya free will ni tofauti. Jaribu kufanya kautafiti japo kidogo kwenye concept ya free will kwenye imani zote mbili utaelewa ninachomaanisha
 
Back
Top Bottom