kwanza kabisa jina tanzania halikutoka kwa wakoloni kwani mpaka wanaondoka halikuwepo halafu kwa kukusaidia mjomba sio ndugu wa damu wa baba bali ni ndugu wa damu wa mama .kiswahili bado hakijawa lugha rahisi kwa wakenya
Kila siku huwa naomba jambo hili la kuondoa hii mipaka ya kikoloni iliyotugawa (ili turudi kwenye Uafrika wetu) litokee, maana nimeshuhudia tukienda ughaibuni huwa tunaonekana ni Waafrika tu, wengi kule hawajui tofauti zetu za huyu Mkenya, yule Mtanzania na huyo Mganda, hasa inapotokea Mwafrika mmoja ameharibu...Wewe hapo Mzungu aliamuru muitwe Watanzania, huku akasema tuitwe Wakenya, baadhi ya makabila yetu mpakani hapo, watu wa kabila moja, ndugu kabisa lakini wanaonana kwa misingi ya mipaka waliyowekewa, hauwezi kumuuzia chochote mjomba wako ndugu wa damu wa baba yako kisa yupo upande wa pili wa mpaka wa kikoloni.
Hivyo muungano huu sio ligi mlizozoea, hatupo kushindana na Nigeria wala taifa lolote, tunaungana ili tuandike historia upya.
Mngeringa sana kupata uhusiano kama huo na Tanzania.Na usisahau TANZANIA ni mkoa wa Kenya. Wanasema upo katikati mwa turkana na baringo
Mmmh hata aibu hamna, wakati trump anaita Africa sithole ni Kenya tu ndio mlimtetea trump bila aibu wala malipo, kuna muda nawaona Wakenya kama kuna kitu muingereza alikifanya kwenye akili yao kupitia madawa au chanjo za watoto.Kila taifa ndani ya Afrika yote ni shithole, tumetukanwa vya kutosha, ndio maana tumeamua kufanya kitu kinachoitwa reset, tuanze upya, muamko mpya, soko la watu zaidi ya bilioni moja kutegemeana bila mipaka tuliyochorewa na mzungu kisha akageuza.
Wewe hapo Mzungu aliamuru muitwe Watanzania, huku akasema tuitwe Wakenya, baadhi ya makabila yetu mpakani hapo, watu wa kabila moja, ndugu kabisa lakini wanaonana kwa misingi ya mipaka waliyowekewa, hauwezi kumuuzia chochote mjomba wako ndugu wa damu wa baba yako kisa yupo upande wa pili wa mpaka wa kikoloni.
Hivyo muungano huu sio ligi mlizozoea, hatupo kushindana na Nigeria wala taifa lolote, tunaungana ili tuandike historia upya.
Hahaha usitake nichekeTaifa la Tanzania limebuniwa na mzungu, yeye alichora mpaka wenu wote, jina Tanzania mumeunganisha majina aliyowapa ya Tanganyika na Zanzibar, hamna jipya.
Ndugu wa baba moja na mama moja, ni wazi hao ni wa damu maana shahawa za baba mmoja. Pia jifundishe jinsi ya kuandika Kiswahili kwa ufasaha, mwanangu mdogo anaweza kukupa darasa jinsi ya kuzingatia alama za uakifishaji, na wapi unafaa kutumia herufi kubwa, uandishi wako unatia kinyaa.
Ikumbukwe pia Kenya inashughulika kuhakikisha makao makuu ya huu muungano yatakua Nairobi, hivyo kwa kurasimisha Kiswahili na kwamba Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, ina maana Kenya ndio itakua kitovu cha huu muungano.
Inaonekana upo obsessed sana na perception ya mzungu juu ya Africa na Waafrika, kwa hiyo hoja yako kuu ya kuondoa mipaka ya nchi za Afrika ni kwa ajili ya wazungu?Kila siku huwa naomba jambo hili la kuondoa hii mipaka ya kikoloni iliyotugawa (ili turudi kwenye Uafrika wetu) litokee, maana nimeshuhudia tukienda ughaibuni huwa tunaonekana ni Waafrika tu, wengi kule hawajui tofauti zetu za huyu Mkenya, yule Mtanzania na huyo Mganda, hasa inapotokea Mwafrika mmoja ameharibu...
Eti na wewe ume-comment! Kaazi kweli kweli...Inaonekana upo obsessed sana na perception ya mzungu juu ya Africa na Waafrika, kwa hiyo hoja yako kuu ya kuondoa mipaka ya nchi za Afrika ni kwa ajili ya wazungu?
Hilo lilikuwa swali sio comment. Au hukuona question mark? Ingekuwa comment kama ungeona alama ya nukta.Eti na wewe ume-comment! Kaazi kweli kweli...
Hahaha usitake nicheke
Jina Tanganyika lina history yake ndefu tu kama jina Kilimanjaro na majina mengi maarufu Tanzania
Kwa Taarifa yako jina Tanganyika wala sio legacy ya mzungu, limetokana na maneno ya kibantu TANGA - sehemu yenye maji na upepo mwingi au bahari na neno NYIKA - sehemu kubwa ya nchi kavu isio na vyanzo vya maji,
Usikurupuke kwa kuongea usiyoyajua naona ungedeal na mambo ya nchi yako kuliko kujidai unaijua sana Tanzania wakati huna ulijualo.
basi mkoloni wetu alikuwa na akili sana,umeona jinsi alivyokata mipaka ya tz[emoji16][emoji16][emoji16].Siongei kuhusu maana ya jina Tanganyika, ila nani aliamua litumike, nenda ukasome historia upya ili upate kuelimishwa kwamba mkoloni ndiye aliyeamua muitwe Watanganyika, nyie mababu zenu hawakua na usemi wowote, na ndio taswira ya mataifa yote ya Afrika.
Tulichorewa mipaka na kupewa majina, na wengi bado tunaendekeza huo uzombi.
Mmmh hata aibu hamna, wakati trump anaita Africa sithole ni Kenya tu ndio mlimtetea trump bila aibu wala malipo, kuna muda nawaona Wakenya kama kuna kitu muingereza alikifanya kwenye akili yao kupitia madawa au chanjo za watoto.
Sijui ni kwanini mnawaaabudu wazungu sana halafu hata hamjishtuki of course nimekaa na Wakenya so naongea from sensible grounds
Nani kasema hivyo? Kulikuwa na Africa trade caravans nyingi tu kati ya makabila yaliyopo kwe present day Tanzania na makabila ya huko Zimbabwe, Zambia ndio maana ukisikiliza kishona cha Zimbabwe ni almost kiswahili kitupu na kuna uthibitisho mkubwa tu wa mambo hayaSiongei kuhusu maana ya jina Tanganyika, ila nani aliamua litumike, nenda ukasome historia upya ili upate kuelimishwa kwamba mkoloni ndiye aliyeamua muitwe Watanganyika, nyie mababu zenu hawakua na usemi wowote, na ndio taswira ya mataifa yote ya Afrika.
Tulichorewa mipaka na kupewa majina, na wengi bado tunaendekeza huo uzombi.
Wewe mkenya Unaongea haya kwa ukubwa upi wa uchumi unalionao? Sababu hatutahamaki na Ujumbe tuu, tunaanzia na kwa mtoa Ujumbe, mna kipi kilichotimamu zaidi ya kilichopo Tanzania? Kwa uchumi upi mmnaomiliki?Mtu anapokutusi hata kama kuna ukweli kwa alichokisema, lazima umpe makavu, ila ukweli Afrika tuna ushithole mwingi, japo kuna wale ambao ni shithole zaidi ya wengine.
Hebu waza Tanzania pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuzidi mataifa mengi, lakini hutajwa kwenye maskini wa kutupwa.
MaCCM hamna aibu...
Haya wakombozi wa Afrika mbona mnaogopa kuikomboa Somalia, CAR, Mali, Libya, Nigeria an Biafra war, Liberia, Sierra Leone,Guinea Conakry? Kazi ni kuikimbia vijinchi tuvisiwa kina Komoro mkasaidiwa na wafaransa.😂 Kazi ni kuwapiga wanyonge.Ninyi ni watu wapenda maslahi hamna maana kabisa, wakati wa kuikomboa Africa, mlijiweka pembeni hamkutaka kushirikiana na waafrika, hamkutaka kupata hasara.
Wakati wa kuku Kiswahili ninyi mlikidharau na mkakumbatia Kiingereza, sasa hivi kwasababu mambo yanaenda vizuri, eti mnajiweka mbele.
Ni kichekesho kusikia mtu anasema Uhuru Kenyatta alisaidia kukuza na kukisambaza Kiswahili Africa, wakati yeye mwenyewe hakijui vizuri na hakitumii ofisini kwako