Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

kwanza kabisa jina tanzania halikutoka kwa wakoloni kwani mpaka wanaondoka halikuwepo halafu kwa kukusaidia mjomba sio ndugu wa damu wa baba bali ni ndugu wa damu wa mama .kiswahili bado hakijawa lugha rahisi kwa wakenya

Taifa la Tanzania limebuniwa na mzungu, yeye alichora mpaka wenu wote, jina Tanzania mumeunganisha majina aliyowapa ya Tanganyika na Zanzibar, hamna jipya.
Ndugu wa baba moja na mama moja, ni wazi hao ni wa damu maana shahawa za baba mmoja. Pia jifundishe jinsi ya kuandika Kiswahili kwa ufasaha, mwanangu mdogo anaweza kukupa darasa jinsi ya kuzingatia alama za uakifishaji, na wapi unafaa kutumia herufi kubwa, uandishi wako unatia kinyaa.
 
Wewe hapo Mzungu aliamuru muitwe Watanzania, huku akasema tuitwe Wakenya, baadhi ya makabila yetu mpakani hapo, watu wa kabila moja, ndugu kabisa lakini wanaonana kwa misingi ya mipaka waliyowekewa, hauwezi kumuuzia chochote mjomba wako ndugu wa damu wa baba yako kisa yupo upande wa pili wa mpaka wa kikoloni.
Hivyo muungano huu sio ligi mlizozoea, hatupo kushindana na Nigeria wala taifa lolote, tunaungana ili tuandike historia upya.
Kila siku huwa naomba jambo hili la kuondoa hii mipaka ya kikoloni iliyotugawa (ili turudi kwenye Uafrika wetu) litokee, maana nimeshuhudia tukienda ughaibuni huwa tunaonekana ni Waafrika tu, wengi kule hawajui tofauti zetu za huyu Mkenya, yule Mtanzania na huyo Mganda, hasa inapotokea Mwafrika mmoja ameharibu...
 
Kila taifa ndani ya Afrika yote ni shithole, tumetukanwa vya kutosha, ndio maana tumeamua kufanya kitu kinachoitwa reset, tuanze upya, muamko mpya, soko la watu zaidi ya bilioni moja kutegemeana bila mipaka tuliyochorewa na mzungu kisha akageuza.
Wewe hapo Mzungu aliamuru muitwe Watanzania, huku akasema tuitwe Wakenya, baadhi ya makabila yetu mpakani hapo, watu wa kabila moja, ndugu kabisa lakini wanaonana kwa misingi ya mipaka waliyowekewa, hauwezi kumuuzia chochote mjomba wako ndugu wa damu wa baba yako kisa yupo upande wa pili wa mpaka wa kikoloni.
Hivyo muungano huu sio ligi mlizozoea, hatupo kushindana na Nigeria wala taifa lolote, tunaungana ili tuandike historia upya.
Mmmh hata aibu hamna, wakati trump anaita Africa sithole ni Kenya tu ndio mlimtetea trump bila aibu wala malipo, kuna muda nawaona Wakenya kama kuna kitu muingereza alikifanya kwenye akili yao kupitia madawa au chanjo za watoto.

Sijui ni kwanini mnawaaabudu wazungu sana halafu hata hamjishtuki of course nimekaa na Wakenya so naongea from sensible grounds
 
Watanzania wenzangu nawaomba tusijikite katika UKENYA na UTANZANIA...Tutajikuta tunaiga tabia ya wenzetu ya umimi...hvyo tufanye hivi;

Rafiki: Unawezaje kuishi na mjinga bila kurumbana?
Mimi: Huwa sibishani na mjinga ,zaidi huwa namjibu kwa mkato tu kuwa NI KWELI UKO SAHIHI.
Rafiki: Lakini unavyofanya sio sawa.
Mimi: NI KWELI UKO SAHIHI...

Waacheni wenzetu wawe sahihi.
 
Taifa la Tanzania limebuniwa na mzungu, yeye alichora mpaka wenu wote, jina Tanzania mumeunganisha majina aliyowapa ya Tanganyika na Zanzibar, hamna jipya.
Ndugu wa baba moja na mama moja, ni wazi hao ni wa damu maana shahawa za baba mmoja. Pia jifundishe jinsi ya kuandika Kiswahili kwa ufasaha, mwanangu mdogo anaweza kukupa darasa jinsi ya kuzingatia alama za uakifishaji, na wapi unafaa kutumia herufi kubwa, uandishi wako unatia kinyaa.
Hahaha usitake nicheke

Jina Tanganyika lina history yake ndefu tu kama jina Kilimanjaro na majina mengi maarufu Tanzania

Kwa Taarifa yako jina Tanganyika wala sio legacy ya mzungu, limetokana na maneno ya kibantu TANGA - sehemu yenye maji na upepo mwingi au bahari na neno NYIKA - sehemu kubwa ya nchi kavu isio na vyanzo vya maji,

Usikurupuke kwa kuongea usiyoyajua naona ungedeal na mambo ya nchi yako kuliko kujidai unaijua sana Tanzania wakati huna ulijualo.
 
Ikumbukwe pia Kenya inashughulika kuhakikisha makao makuu ya huu muungano yatakua Nairobi, hivyo kwa kurasimisha Kiswahili na kwamba Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, ina maana Kenya ndio itakua kitovu cha huu muungano.
 
Kila siku huwa naomba jambo hili la kuondoa hii mipaka ya kikoloni iliyotugawa (ili turudi kwenye Uafrika wetu) litokee, maana nimeshuhudia tukienda ughaibuni huwa tunaonekana ni Waafrika tu, wengi kule hawajui tofauti zetu za huyu Mkenya, yule Mtanzania na huyo Mganda, hasa inapotokea Mwafrika mmoja ameharibu...
Inaonekana upo obsessed sana na perception ya mzungu juu ya Africa na Waafrika, kwa hiyo hoja yako kuu ya kuondoa mipaka ya nchi za Afrika ni kwa ajili ya wazungu?
 
Hahaha usitake nicheke

Jina Tanganyika lina history yake ndefu tu kama jina Kilimanjaro na majina mengi maarufu Tanzania

Kwa Taarifa yako jina Tanganyika wala sio legacy ya mzungu, limetokana na maneno ya kibantu TANGA - sehemu yenye maji na upepo mwingi au bahari na neno NYIKA - sehemu kubwa ya nchi kavu isio na vyanzo vya maji,

Usikurupuke kwa kuongea usiyoyajua naona ungedeal na mambo ya nchi yako kuliko kujidai unaijua sana Tanzania wakati huna ulijualo.

Siongei kuhusu maana ya jina Tanganyika, ila nani aliamua litumike, nenda ukasome historia upya ili upate kuelimishwa kwamba mkoloni ndiye aliyeamua muitwe Watanganyika, nyie mababu zenu hawakua na usemi wowote, na ndio taswira ya mataifa yote ya Afrika.
Tulichorewa mipaka na kupewa majina, na wengi bado tunaendekeza huo uzombi.
 
basi mkoloni wetu alikuwa na akili sana,umeona jinsi alivyokata mipaka ya tz[emoji16][emoji16][emoji16].

halafu wa kwenu akiwa anawafundisha kiingereza wakati huo.
 
Mmmh hata aibu hamna, wakati trump anaita Africa sithole ni Kenya tu ndio mlimtetea trump bila aibu wala malipo, kuna muda nawaona Wakenya kama kuna kitu muingereza alikifanya kwenye akili yao kupitia madawa au chanjo za watoto.

Sijui ni kwanini mnawaaabudu wazungu sana halafu hata hamjishtuki of course nimekaa na Wakenya so naongea from sensible grounds

Mtu anapokutusi hata kama kuna ukweli kwa alichokisema, lazima umpe makavu, ila ukweli Afrika tuna ushithole mwingi, japo kuna wale ambao ni shithole zaidi ya wengine.
Hebu waza Tanzania pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuzidi mataifa mengi, lakini hutajwa kwenye maskini wa kutupwa.
MaCCM hamna aibu...
 
Siongei kuhusu maana ya jina Tanganyika, ila nani aliamua litumike, nenda ukasome historia upya ili upate kuelimishwa kwamba mkoloni ndiye aliyeamua muitwe Watanganyika, nyie mababu zenu hawakua na usemi wowote, na ndio taswira ya mataifa yote ya Afrika.
Tulichorewa mipaka na kupewa majina, na wengi bado tunaendekeza huo uzombi.
Nani kasema hivyo? Kulikuwa na Africa trade caravans nyingi tu kati ya makabila yaliyopo kwe present day Tanzania na makabila ya huko Zimbabwe, Zambia ndio maana ukisikiliza kishona cha Zimbabwe ni almost kiswahili kitupu na kuna uthibitisho mkubwa tu wa mambo haya

Unafikiri wakati biashara hiyo ya masafa marefu ikifanyika kutoa chumvi Kigoma kupeleka Harare walikuwa wanatambulika kama wafanyabiashara kutoka wapi?

Tatizo la Waafrika wengi tumemezeshwa upumbavu wa fake history ya mzungu na muarabu hakuna chochote cha maana wanachomuongelea kwacho muafrika zaidi ya udunishaji, upumbavu ambao hata wewe umekupata.

Kuna muarabu fulani alitaka kuiba legacy ya Mtanzania kwamba yeye ndio aliegundua Tanzanite mpaka Wikipedia na mitandaoni kajiandikia history uchwara wakati kitu kiko wazi kabisa ni nani mvumbuzi wa Tanzanite kwa hiyo sishangai eurocentric mediocrity mliyonayo kichwani mwenu, ni janga la dunia.

Poleni
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hahahaha, point ya kwamba Trump alipoita Africa kuwa ni shithole ni Kenya pekee ndio iliyomtetea na kumkingia kifua, naona imeachwa ghafla na kuingizwa ajenda ya rasilimali za Tanzania. Hahahaha, ukweli unachoma sana.
 
Mtu anapokutusi hata kama kuna ukweli kwa alichokisema, lazima umpe makavu, ila ukweli Afrika tuna ushithole mwingi, japo kuna wale ambao ni shithole zaidi ya wengine.
Hebu waza Tanzania pamoja na kuwa na raslimali nyingi kuzidi mataifa mengi, lakini hutajwa kwenye maskini wa kutupwa.
MaCCM hamna aibu...
Wewe mkenya Unaongea haya kwa ukubwa upi wa uchumi unalionao? Sababu hatutahamaki na Ujumbe tuu, tunaanzia na kwa mtoa Ujumbe, mna kipi kilichotimamu zaidi ya kilichopo Tanzania? Kwa uchumi upi mmnaomiliki?
 
mimi kama mtanzania na muafrika napenda afrika tuungane tutaleta mapinduzi ambayo wazungu waliyasomaga kwenye vitabu vyao kuhusu sisi dunia bado mwisho haujafika mpaka kijiti kirudi kwa mwenyewe in population tuko zaidi ya hata wachina

market tutatengeneza kila kitu na usishangae hao viongozi wanaojaribu kukaa na kuiunganisha afrika kila mmoja nchini kwake propaganda zitaanza kuenenezwa na white foxes maana wanaogopa muungano wa sisi watu weusi wanajaribu kuua lakini hawawezi.
 
Ninyi ni watu wapenda maslahi hamna maana kabisa, wakati wa kuikomboa Africa, mlijiweka pembeni hamkutaka kushirikiana na waafrika, hamkutaka kupata hasara.

Wakati wa kuku Kiswahili ninyi mlikidharau na mkakumbatia Kiingereza, sasa hivi kwasababu mambo yanaenda vizuri, eti mnajiweka mbele.

Ni kichekesho kusikia mtu anasema Uhuru Kenyatta alisaidia kukuza na kukisambaza Kiswahili Africa, wakati yeye mwenyewe hakijui vizuri na hakitumii ofisini kwako
Haya wakombozi wa Afrika mbona mnaogopa kuikomboa Somalia, CAR, Mali, Libya, Nigeria an Biafra war, Liberia, Sierra Leone,Guinea Conakry? Kazi ni kuikimbia vijinchi tuvisiwa kina Komoro mkasaidiwa na wafaransa.😂 Kazi ni kuwapiga wanyonge.
 
Naedela kuelewa kwanini Kenya kunanuka ukabila.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom