MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
kwanza kabisa jina tanzania halikutoka kwa wakoloni kwani mpaka wanaondoka halikuwepo halafu kwa kukusaidia mjomba sio ndugu wa damu wa baba bali ni ndugu wa damu wa mama .kiswahili bado hakijawa lugha rahisi kwa wakenya
Taifa la Tanzania limebuniwa na mzungu, yeye alichora mpaka wenu wote, jina Tanzania mumeunganisha majina aliyowapa ya Tanganyika na Zanzibar, hamna jipya.
Ndugu wa baba moja na mama moja, ni wazi hao ni wa damu maana shahawa za baba mmoja. Pia jifundishe jinsi ya kuandika Kiswahili kwa ufasaha, mwanangu mdogo anaweza kukupa darasa jinsi ya kuzingatia alama za uakifishaji, na wapi unafaa kutumia herufi kubwa, uandishi wako unatia kinyaa.