Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

Hata sisi pia hatuwezikubali kushirikiana na wachawi, nchi maskini zaidi EA, nchi lazy zaidi in Africa na nchi ya elimu duni.
Ninyi mnatuhitaji sana na mnatuigopa sana, bila sisi zaidi ya 40% ya viwanda vyenu vitafungwa kwa kukosa raw materials, hapo sijasema njaa na kuwafungia njia ya bidhaa zenu kufikia nchi za SADC. Mbona tunawachokoza kwa kuchoma vifaranga na kuuza Ng'ombe zenu na kunyanyasa raia wa Kenya na hamfanyi lolote, bado Uhuru anakuja kujikomba?
 
Juzi tu hapa Jaguar alikohoa kila Tanzanian akatokwa na machozi, why? You give us raw material we give you back finished product, who's doing fooling who there?
 
Juzi tu hapa Jaguar alikohoa kila Tanzanian akatokwa na machozi, why? You give us raw material we give you back finished product, who's doing fooling who there?
Tulitoa Amri kwa rais wenu kuomba radhi haraka sana, na alifanya hivyo bila kuchelewa, hadi Leo bado anaendelea kuomba msamaha huko Chato.
 
Mkuu acha kujibaraguza! Taja hizo bidhaa zaidi ya maziwa!!!
Mnasema bidhaa zipo nyingi halafu unaishia kutaja maziwa tu!!?
Jiongeze mkuu, nimekupa mfano mmoja tu. Hivi kuna kitu chochote ambacho hakizalishwi hapa Afrika? Hata hizo simu ambazo unaongea kuhusu material za kutengeneza viungo karibia vyote huwa zinatoka hapa Afrika. Mkataba wa AfCFTA utasaidia nchi za Afrika pia kuuza mali ghafi nje ya bara hili kwa standard moja, bei nk.
https://au.int/en/ti/cfta/about Hebu pitia kwenye link hii hapa ujifunze mengi kuhusu mkataba wa AfCFTA, wa nchi 50 za Afrika. Maanake naona tunajibizana kuhusu vitu ambavyo vipo wazi kabisa.
 
Hahaha

Kazi ipo

Hivi Unajua kisa cha Baba wa taifa la Tanzania kutofautiana kabisa na Kenyatta jambo moja kubwa ilikuwa ni baada ya Kenyatta kukataa kata katu kuunganisha Kenya na Tanzania na nchi nyingine ziwe nchi moja?

Na inawapasa kati ya mambo ambayo mnatakiwa mumchukie Kenyatta ni kukataa hii offer ya Nyerere na kati ya mambo Watanzania tunapaswa kumkosoa Nyerere ni kufikiria hili suala (sio baya lakini ni kwa wrong people)

Fikiria saivi kungekuwa hakuna tofauti kati ya mkazi wa Turkana jangwani mle na mkazi wa Morogoro peponi, yaani mtu kutoka Wajiir angeweza kwenda Chunya kuanzisha mgodi wake wa madini ya dhahabu kama waunguja wanavyotoka unguja na kumiliki biashara na utajiri Kigoma.

Nyerere dhamira yake ilikuwa safi kabisa tena alimuambia Kenyatta mimi nipo tayari hata kesho wewe uwe Rais kabisa wa hiyo unified political federation lakini Mungu alivyo waajabu na alikua akituwazia watamzania mema aliweka moyo mgumu kwa Kenyatta

Na hivyo hivyo Nyerere alitaka kwa Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia, Zimbabwe mpaka South Africa in fact SADC ya kwanza kabisa iliundwa Tanzania japo ile ilikuwa ni SADC ya kijeshi au ukombozi wa nchi za kusini, target ikiwa kuja kuunda dola moja ndio maana Nyerere alijitoa kwa vyote, then baadae ndio ikawa economic oriented SADC lakini ni wazo la Nyerere kabisa

Sasa kati ya Kenya na Tanzania nani mwenye uhalali wa kumuita mwenzake alikumbatia mipaka ya kikoloni? Na ya heri ukumbatie mipaka ya ukoloni kuliko kukumbatia mipaka ya ukabila sababu hapo unafanya akili ya mkoloni iwe bora yako mara million.

Kuhusu ugunduzi wa gas madini, vyote hivi viligunduliwa na Nyerere miaka ya 60 huko, kitu Nyerere Alisema ni kwamba "hizi rasilimali za ardhini ziachwe hivi hivi mpaka watoto wetu watakapopata maarifa na uwezo wa kuvitumia wenyewe kwa manufaa"

Na kwa kipindi chote Nyerere alivyokuwa hai hakukuwa na company yoyote ya kigeni ya uchimbaji wa kitu chochote Tanzania bali baada ya Nyerere kufa tu ndio huo mwiko ulivunjwa, kwa hiyo kusema tulikuwa tukipanda mihogo tukose kujua kilichomo chini inaonesha ni jinsi gani unavyokurupuka, pale Dodoma ipo maktaba kubwa kuliko zote Africa ya geological arrangements za Tanzania na pale University of Dar es salaam tokea enzi ya mjerumani 18000s mpaka leo kwa hiyo kila kitu kilijulikana kilipo kila eneo.
Mkuu umeongea ukweli mtupu kabisa, [emoji122] [emoji122] [emoji122] japo hawawezi kukuelewa kamwe
 
Ahaa haaa.
Sasa sikilizeni. Vile tulivyochukua lile bomba la mafuta. Ndivyo tutakavyo chukua makao makuu ya huu Muungano wa AfCFTA.
Tumeshatenga eneo tayari kule Jijini Arusha karibu na Nelson Mandela African Institute of Science and Technology, along barabara ya Arusha Ring Road (East Africa By Pass) nasikia imeshaisha.
Wakenya sahauni, Vitu vyote seriuos kwa ajili ya Afrika (Pan Afrikan Issues) hazitakaa zipelekwe Kenya maana nyie mnajulikana as an agent of neo-colonialism. Nyie chukueni yale mashirika ya kibeberu sijui micro soft, na mengine mengi kutoka ubeberuni. Lakini kwa issue ya huu umoja ni Ethiopia na Tanzania tu. Najua mtakuja na mapovu. kwa sababu you DON'T KNOW THE HISTORY OF AFRIKA.
CC:
pingli-nywee
MK254
Makao makuu yawe kwenu na mmekaidi kujiunga..
 
Makao makuu yawe kwenu na mmekaidi kujiunga..

Aha haaa. Tunajaribu kuangalia lengo la huyo muhamaishaji wa huu muungano. Isije ikawa tunamuamini mtu, kumbe katumwa na mabeberu.

Sisi tukiingia tu, utaona itakavyo changamka. Maana tayari eneo lipo kule jijini Arusha, au wakipenda watapewa eneo jijini Dodoma.
 
Mkuu umeongea ukweli mtupu kabisa, [emoji122] [emoji122] [emoji122] japo hawawezi kukuelewa kamwe
Wasielewe kabisa lakini ukweli haufichiki, nawashangaa hawa watu kwa namna wanavyoisemea Kenya kwa mtu ambae hujafika unaweza kujua huko ni peponi lakini nikuhakikishie hakuna mahali Afrika mashariki kuna maisha magumu kama Nairobi

Ndio maana Nairobi kuchomwa screwdriver/bisibisi ni kitendo cha dakika, kule majambazi wapo nje nje maisha kule magumu sana watu wanaishi kwenye vibanda vya mabati na slums ni nyingi sana. Kuna gape kubwa kati ya matajiri na masikini pia umasikini wa chakula ni mkubwa kuliko nchi yoyote Africa na huenda duniani, watu wanauana sababu ya ugali.
 
Unatarajia nchi ya kibepari Watu wote wawe matajiri au wote wawe mafukara kama hapo kwenu? Hakuna nchi watu wake wana maisha magumu kama TZ. Wapi unaskia watu watu wanachinja watoto wadogo ili kuepuka umaskini?
 
Mwaka huo 1974 ilikuwa ni matumaini lakini 1977 ilikuwa reality, una lingine?

Katiba ya Tanzania inayotumika ni katiba iliyotungwa na bunge la katiba la Tanzania sio la mkoloni.

Sina muda wa majibizano na wewe upo level ya kindergarten kwangu, hata kwa namna unavyojenga hoja upo premature kabisa kwa viwango vya kufanya arguments za kiutuuzima, level yako ya kujenga hoja ni aina ya ushabiki kama simba na yanga.

Kila la heri katika maeneo na watu wanaosuit aina hiyo ya argument, for me hell no ✋

Leta facts kwamba mligundua gesi kitaalam mwaka wa 1977, wacha kurusha rusha maneno, hii JF Kenyan section sio kama huko mnakozoea kunyamazishana kwa maneno matupu.

Katiba bado mnatumia ya mkoloni, kile ambacho huwa mnafanya ni kubadlisha badilisha maeneo na vipengee kama tulivyokua tunafanya kabla hatujaandika katiba mpya.

Siku nyingine ujiandae na facts ukitaka kujadili chochote na Mkenya, sisi tuna asili ya kuhoji kila kitu, wabishi kupita maelezo, tunapenda kutaja kitu kama kilivyo, haturembi, hatupaki mafuta, hatuna huo unafiki wenu wa kuitana ndugu ilhali nyuma ya pazia mnakwamishana na kuvutana nyuma.
 
Nairobi ikifanikiwa kuwa makao makuu ya AfCFTA Kenya itafaidi pakubwa. Hakuna mkataba wa kibiashara duniani ambao umeshirikisha nchi nyingi zaidi ya huu mkataba wa nchi 50 za Afrika. Yaani nchi zote za Afrika zimeungana kufanya makubwa, isipokuwa Tanzania na Benin.

Nani mwenye akili timamu aiweke Nairobi kuwa Head_office??
 
Juzi tu hapa Jaguar alikohoa kila Tanzanian akatokwa na machozi, why? You give us raw material we give you back finished product, who's doing fooling who there?

Finished product gani mzalishazo ambazo zinakuja Tanzania???

Aki vile Wakenya mnaumwa sana
 
Unatarajia nchi ya kibepari Watu wote wawe matajiri au wote wawe mafukara kama hapo kwenu? Hakuna nchi watu wake wana maisha magumu kama TZ. Wapi unaskia watu watu wanachinja watoto wadogo ili kuepuka umaskini?
Umasikini wa chakula uliopo Kenya unatisha acha ukweli utawale tu, tuambiane ukweli Tanzania ni masikini kweli wala sikatai lakini umasikini uliopo Tanzania sio wa chakula, Kenya serikali inatoa ruzuku ya chakula kushusha bei ya vyakula hii ni kutokana na Kenya kutumia zaidi 70% chakula chote haizalishwi Kenya.

Kabla ya kuongea kuhusu uchumi wa GDP tunaangalia kwanza basic needs, kama chakula shida hata huko kwingine ni shida tu japo mna International organisations nyingi na mkoloni aliijenga lower Kenya vyema.
 
Mahindi, mihogo na chai bila maziwa ndivyo vyakula ambavyo mtanzania wa kawaida anaweza kuvipata. Vya fukara wA kikenyA ni vile huwa mnavibeza humu usiku na mchana, ugali,sukuma ,gedheli na maziwa. Niambie ni nani anapata lishe bora hapo. Utafiti ulipofanywa ilibainika kwamba huko kwenu kuna njaa iliojificha. Utapiamlo umetamalaki.
Usisahau watoto kula kinyesi

Tanzania ya pili Africa kwa mifugo mingi kwa hiyo maziwa sio shida tena yapo mpaka yanamwagwa ila inatofaitiana na jamii sababu ya makabila mengi Tanzania kila jamii na utamaduni wake kuna jamii wao samaki tu ndio chakula kwao, wengine wao nyama tu, wengine nafaka nk

Huko usukumani watoto wanaogeshwa na maziwa au kunawa mikono na maziwa, wengine wamasonga ugali na maziwa, Kenya jangwani huko maziwa ni kwa baadhi ya maeneo hata kama mnaongoza kwa processed milk lakini maziwa ya Watanzania yanatumika kienyeji sana bila takwimu.
 
Source: Kibera fm
Mahindi, mihogo na chai bila maziwa ndivyo vyakula ambavyo mtanzania wa kawaida anaweza kuvipata. Vya fukara wA kikenyA ni vile huwa mnavibeza humu usiku na mchana, ugali,sukuma ,gedheli na maziwa. Niambie ni nani anapata lishe bora hapo. Utafiti ulipofanywa ilibainika kwamba huko kwenu kuna njaa iliojificha. Utapiamlo umetamalaki.
Usisahau watoto kula kinyesi
 
Nani mwenye akili timamu aiweke Nairobi kuwa Head_office??
Tena kati ya nchi ambazo zimewasilisha bid ya kuwa makao makuu Kenya ina chance kubwa zaidi ya kufanikiwa. Kenya ni makao makuu ya mashirika mengi sana. Km. UNEP. >>>https://www.businessdailyafrica.com...dquarters/3946234-5168780-11nco11z/index.html Nchi ambazo zime'bid' kuwa makao makuu ya AfTCA(nchi 53/55 za Afrika) ni Kenya, Ghana, Ethiopia, Senegal, Egypt, Madagascar na Swaziland. Acha longolongo zako, Tanzania haija'bid' kuwa makao makuu na wala haipo kwenye mkataba wa AfCFTA.
Ahaa haaa.
Sasa sikilizeni. Vile tulivyochukua lile bomba la mafuta. Nyie chukueni yale mashirika ya kibeberu sijui micro soft. Lakini kwa issue ya huu umoja ni Ethiopia na Tanzania tu. Najua mtakuja na mapovu. kwa sababu you DON'T KNOW THE HISTORY OF AFRIKA.
 
Jiongeze mkuu, nimekupa mfano mmoja tu. Hivi kuna kitu chochote ambacho hakizalishwi hapa Afrika? Hata hizo simu ambazo unaongea kuhusu material za kutengeneza viungo karibia vyote huwa zinatoka hapa Afrika. Mkataba wa AfCFTA utasaidia nchi za Afrika pia kuuza mali ghafi nje ya bara hili kwa standard moja, bei nk.
https://au.int/en/ti/cfta/about Hebu pitia kwenye link hii hapa ujifunze mengi kuhusu mkataba wa AfCFTA, wa nchi 50 za Afrika. Maanake naona tunajibizana kuhusu vitu ambavyo vipo wazi kabisa.
Umamaishaji mtupu!! Tunataka kujua aina ya bidhaa zitakazoingia kwenye soko moja la Africa!!
Hii mikataba inalenga kudhibiti soko la madini kwa manufaa ya watu wachache sana.
Km unavyofanya siri bidhaa na mikataba itakuwa siri ya mawaziri.
 
Back
Top Bottom