Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

Nigeria yaacha kununa, ipo tayari kujiunga na Waafrika wengine, pia Kiswahili chateuliwa kama lugha rasmi ya Afrika

Umamaishaji mtupu!! Tunataka kujua aina ya bidhaa zitakazoingia kwenye soko moja la Africa!!
Hii mikataba inalenga kudhibiti soko la madini kwa manufaa ya watu wachache sana.
Km unavyofanya siri bidhaa na mikataba itakuwa siri ya mawaziri.
Mawaziri tena??? [emoji15] Nimekuekea link ujifunze mengi kuhusu mkataba wa AfCFTA. Sina la ziada, acha tukubaliane kwamba nchi mbili zilizosalia, Tz na Benin, zina hekima zaidi ya nchi 53 za Afrika ambazo zimekubali mkataba wa AfCFTA.
 
Wakenya leo rais wenu kapewa tausi kwa ukumbusho; na sisi tunamtaka jaguar tukumbuake kwa vitendo.😀😀 Tuuenzi muungano wetu.
 
Mbona uko obsessed na 'slum' hivi? Hakuna komenti utarusha humu bila kutaja slum. Nina wasiwasi unaishi kwa nyumba ya tope iliyoezekwa na nyasi hapo mbagala
Unajua slum za wakenya zinachekesha na kusikitisha sana asilimia 75 ya wakaazi wa naii wanaishi slum hapo ndiyo nashangaa kumbe ukiwaona wadada wa Kenya wanajiremba na kujipulizia manukato utadhani wanaishi peponi kumbe wametoka kibera !!!!!!!!! Arafu nasikia kuna slum Mpya imegunduliwa naii inaitwa NYALENDWA SLUM hii ni habari njema wa wana slum kuwahi makaazi mapya .utamsikia Demu wa kikenya anajiita Kwa majina ya kizungu sijui JANEROSE kumbe analala kwenye MAVII shit !!???
 
Mbona madini yanapotea kila uchao na mbona Nchi yenyewe ni among 25 most poorest countries int the Milky way galaxy...yani mko Nambari 169 Kati ya 195. LDC karne ya 21 hata aibu hamna na usisahau Somalia na South Sudan wamo kwenye hicho kikundi.

Nyang'au (failed State) akikohoa mnaitika Mara moja.
Ni nyinyi wakenya mnausika na wizi wa madini ya tz wezi wamadini yetu wamejificha Kenya na wengine ni viongozi wa serikali ya Kenya na serikali ya Kenya hipo nyuma yao kuujumu tz
 
Back
Top Bottom