pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Mawaziri tena??? [emoji15] Nimekuekea link ujifunze mengi kuhusu mkataba wa AfCFTA. Sina la ziada, acha tukubaliane kwamba nchi mbili zilizosalia, Tz na Benin, zina hekima zaidi ya nchi 53 za Afrika ambazo zimekubali mkataba wa AfCFTA.Umamaishaji mtupu!! Tunataka kujua aina ya bidhaa zitakazoingia kwenye soko moja la Africa!!
Hii mikataba inalenga kudhibiti soko la madini kwa manufaa ya watu wachache sana.
Km unavyofanya siri bidhaa na mikataba itakuwa siri ya mawaziri.