Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Hiz n singl au series?BILA KUSAHAU WA SOUTH AFRIKA
CHEKI
SAVAGE BEAUTIES
THE BLAVE ONES
N. K
Nlkua bado sijawaaminia ila now nawakubal knomaNigeria wapo juu kitambo. Sema ww ndio Leo umejua au ulikua huna pa kuangalizia
Huo n mtazamo wakowasauzi wanazo nyingi
uzalo,skeem,isibaya,generation nk wanaija hamna kitu
Anza na hizo nlzokuwekea hapo ndo uje utoe majbu yaan hapo Kuna Kila ktu stor ,action drama , crime yaan n nomaSema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
[emoji38][emoji38][emoji38]hebu nitukane mimi,nataka nikamtukane mtu naona matusi yameniishia hapaBinafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town
NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
Hiyo karishika ni noma[emoji119] niliangalia wakati nipo darasa la kwanza, tena usiku aisee nilikoma sikuhiyo siji sahau[emoji23]Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
Karishika karishika Kwini of dakinesi enzi hizoHiyo karishika ni noma[emoji119] niliangalia wakati nipo darasa la kwanza, tena usiku aisee nilikoma sikuhiyo siji sahau[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1]noma sanaaKarishika karishika Kwini of dakinesi enzi hizo
Wanaija nao wanajifanya wazungu [emoji1][emoji1][emoji1]Shida wana sex live...
Hapo sasa..zamani nilikua nawapenda ila siku hz unaangalia kwa mashakaWanaija nao wanajifanya wazungu [emoji1][emoji1][emoji1]
Si tulikuwa tunaenda kwa jirani usiku kuangalia,aseee ilikuwa ni hatari,ni full kuweweseka tuuHiyo karishika ni noma[emoji119] niliangalia wakati nipo darasa la kwanza, tena usiku aisee nilikoma sikuhiyo siji sahau[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app