Nigerian movie

Nigerian movie

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2021
Posts
826
Reaction score
1,622
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town

NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
 
Nigeria wapo juu kitambo. Sema ww ndio Leo umejua au ulikua huna pa kuangalizia
 
Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
 
kwenye movie me naona bado, labda porn zao tena kwa mbaliii
 
Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
Anza na hizo nlzokuwekea hapo ndo uje utoe majbu yaan hapo Kuna Kila ktu stor ,action drama , crime yaan n noma
 
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town

NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
[emoji38][emoji38][emoji38]hebu nitukane mimi,nataka nikamtukane mtu naona matusi yameniishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
Hiyo karishika ni noma[emoji119] niliangalia wakati nipo darasa la kwanza, tena usiku aisee nilikoma sikuhiyo siji sahau[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom