Nigerian movie

Nigerian movie

Anza na hizo nlzokuwekea hapo ndo uje utoe majbu yaan hapo Kuna Kila ktu stor ,action drama , crime yaan n noma
Sangaliagi story za action mimi,hizo movies za watoto wadogo mkuu,leta horror kama wanazo sasa hv
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Sangaliagi story za action mimi,hizo movies za watoto wadogo mkuu,leta horror kama wanazo sasa hv
Sangaliagi story za horror mimi, hizo movies za watoto wadogo mkuu,leta action na crime kama wanazo Sasa hv
 
Kwa Nigeria
1.Blood sisters
2.Shanty Town
3.King of Boys
4.Naija Christmass
5.The Governor

Kwa Sauz kuna;
1.Gangs of Jo'burg
2.Shadow
3.Queen Sono
4.Beuty Savage

Zote hizo ni kali na zote zipo Netflix
 
Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana
Hizi ndio kama za wabongo tu ila nachoona tofauti ni wanazungumza kiingereza na majumba yaliyojaa pazia.
Mimi nawaelewa wakenya kuna crime and justice naielewa sana hii
 
Kwa Nigeria
1.Blood sisters
2.Shanty Town
3.King of Boys
4.Naija Christmass
5.The Governor

Kwa Sauz kuna;
1.Gangs of Jo'burg
2.Shadow
3.Queen Sono
4.Beuty Savage

Zote hizo ni kali na zote zipo Netflix
Umeona brother eeh
 
Binafsi kuanzia Sasa n shabik nambar uno wa muvi na series za kinaija
Hawa jamaa wanajua na wanakuja kwa Kasi ya ajabu
Kimzki wametushinda hata muvi pia wametushinda
Ukitaka kuamin maneno yangu tafuta hizi baadh tu
Gangs of Lagos
Hey you
Far from home
Shanty town

NB. Ukicomment ushuzi nakutukana tusi jipya
Hiyo far from home ni tamu sana sana aisee
 
Sema wanaija sku hzi,ni kama bongo movies tu,walikuwepo wamba zamani aseee....movies kama 666,the witches,karishika,movies za mwamba ramsey noah,geneviev nnaji,omotolah jalade,aseee hawa jamaa ni noma sana

Mmmh hiyo karishika umenikumbusha mbali
 
Back
Top Bottom