Nigerians Djs waanza kuipa airtime a song "Home boy" ya Civilian-Coin kwa furaha kubwa.

Nigerians Djs waanza kuipa airtime a song "Home boy" ya Civilian-Coin kwa furaha kubwa.

C-C Digital Pro

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2026
Posts
361
Reaction score
532
IMG-20260827-WA0005.jpg

Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa.
IMG-20260827-WA0001.jpg


View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=pMeRg7x9mkGaUNww
 

Attachments

  • VID-20260827-WA0000.mp4
    3.1 MB
  • VID-20260827-WA0002.mp4
    3.7 MB
  • VID-20260824-WA0004.mp4
    2.3 MB
  • VID-20260827-WA0006.mp4
    2.4 MB
  • VID-20260828-WA0002.mp4
    1.7 MB
  • VID-20260829-WA0000.mp4
    3.2 MB
Hivi udhaifu ni kile kitu ambacho tayari unakifahamu kuhusu wewe mwenyewe ?

Mfano, mtu anajua kwamba ana tabia fulani ambayo inajirudia kila siku na kila mara tabia hiyo inamuangusha au kumsababishia matokeo hasi

Exp: Mtumiaji wa sigara akaambiwa mapafu yake yame athirika na moshi wa sigara
Na akaambiwa asitishishe uvutaji wa sigara

Lakini yeye akaendelea kwa madai kua hawezi kuacha kuvuta maana sigara akiiona au kuhisi harufu yake
Anapagawa
Mwisho anasema yeye sigara ndiyo udhaifu wake mkubwa na hawezi kujizuia hivi huu ni udhaifu au tamaa?

Kama mtu anafahamu udhaifu wakekwa nini bado anashindwa kujizuia nao wakati tayari anajua kwamba tabia hiyo imekuwa ikimuangusha mara zote?

Au udhaifu ni kitu ambacho mtu mwenyewe hakifahamu kuhusu yeye?
I mean hajawahi kukifahamu kabisa
Je hicho ndiyo udhaifu wenyewe?

Unakuta mtu anasema
Mimi udhaifu wangu ni kitu fulani
Ngono,Ulevi,udokozi nk.......
na wakati huo huo anajua kabisa kwamba kitu hicho kinamsababishia matokeo hasi

Sasa najiuliza mtu anawezaje kukabiliana na udhaifu wake ikiwa tayari anaufahamu?

Je, kumtambua udhaifu wako ni hatua ya kwanza tu au kuna hatua nyingine muhimu zaidi baada ya kuutambua ili uweze kuushinda

Na je, mtu anaweza kuufanya udhaifu wake uwe nguvu au kuna baadhi ya udhaifu ambao mtu atalazimika kuishi nao na kujifunza namna ya kuudhibiti?

Night 🌙 ShesRise_1 🤚

View attachment 3659699
Ona wanacho kufanya hawa madj wa Nigeria kutoka vituo mbalimbali vya Radio nchini mwao kwa kuinua Ngoma Home boy ya Mtanzania Civilian-Coin kwa furaha kubwa.
View attachment 3659700

View: https://youtu.be/YnbAqvz_8h0?si=pMeRg7x9mkGaUNww

Beats kali hizo mzee, ila jaribu kurekebisha graphics, nilikupa ile CapCut, ina akili unde yenyewe inakusaidia kupangilia video

 
Kama wanaijeria wanakukubali sisi ni nani tukukatae, wewe ni mama samia wetu
 
Back
Top Bottom