- Thread starter
- #61
Endeeleni hivo hivoHuyu jamaa sio mwenzetu, hii sample tunaishangaa vijana wa humu, vijana wa jf tupo makundi mawili tu, wanaokataa ndoa na hawaamini wanawake na ambao hawaamini wanawake lakini wanakubali ndoa, sasa hii njemba sijui imetokea wapi..