The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Wakuu habari..
Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .
Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.
Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,
Just imagine hata kuvuka hapa daraja la kigamboni sio Bure , au ndio tuogelee..
Yani hapa mjini mtu anaona Bora hata umgonge na boda boda mguuni, Ili umlipe apate hata hela ya kula..
Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..