Nihamie mkoa gani ? Dar kumenichosha

Nihamie mkoa gani ? Dar kumenichosha

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
880
Reaction score
1,985
Wakuu habari..

Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .

Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.

Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,

Just imagine hata kuvuka hapa daraja la kigamboni sio Bure , au ndio tuogelee..

Yani hapa mjini mtu anaona Bora hata umgonge na boda boda mguuni, Ili umlipe apate hata hela ya kula..

Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..
 
Wakuu habari..

Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .

Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.

Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,

Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..
Hamia kwenye nyumba yako ya milele.Huko hautapata mahangaiko ya distributions kabisa.Na tutaandika "APUMZIKE KWA AMANI"!
 
Nenda Morogoro ndani ndani, Arusha ndani ndani, Iringa ndani ndani, Tanga ndani ndani, Mbeya ndani ndani.
 
Kama umeshindwa kutoboa DSM sifikirii Kama kuna mkoa utakuwa rahisi kwako.

Ni mkoa gani ambao mtu unaweza kuingiza mil tatu kwa udalali tu

Leo nimetuma nyumbani jumla laki nane laki sita kwa bibi na laki mbili kwa mama na baba

Dar sitoki

Mimi DSM sitoki
 
Wakuu habari..

Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge .

Yani asubuhi unaweza ukapata laki moja, kufika jion hauna hata mia , baada ya kufanya distribution.

Dar es salaam Kuna boa sana, joto Kali , maeneo mengi Yana nuka Kwa wingi wa chemba tena hili joto ndio balaa, mipango miji imekaa hivyo sana, vujo za boda boda na magari imekuwa kero ,

Niende mkoa gani ambao ni afadhali, na wenye fursa hata kilimo na ufugaji fresh..
Hapo bado haujatuma nauli na yakutolea halafu haji
 
Back
Top Bottom