Alfredy1993
New Member
- Sep 26, 2017
- 3
- 6
Kwenye real estate? Unawekezaje huku mkuu?Wekeza kwenye real estate
Nyingi walau shillings ngapi mkuu za kuanzia kuwekeza kwenye ardhi?Zitunze zikiwa nyingi wekeza kwenye ardhi
Ikianza kufikia laki 9+Nyingi walau shillings ngapi mkuu za kuanzia kuwekeza kwenye ardhi?
Kanunue hati fungani BOT na unaweza ukapata hata zaidi ya asilimia 10 kulingana na muda unaotarajia kuwekeza. Kwa taarifa zaidi ingia kwenye website yao, simply google!Habari ndugu zangu, mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada sasa sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka! Naomba msaada kwa anayejua
How mkuu ufafanuzi tafadhaliIkianza kufikia laki 9+
Kama inafika 20M ni kopeshe for 3 yrs nitakupa 200%Habari ndugu zangu,
Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka!
Naomba msaada kwa anayejua
Kwani hati fungani za BOT unaweza anza kununua za shilingi ngapi(kiwango cha chini cha kununua)?Kanunue hati fungani BOT na unaweza ukapata hata zaidi ya asilimia 10 kulingana na muda unaotarajia kuwekeza. Kwa taarifa zaidi ingia kwenye website yao, simply google!
Ingia kwenye website yao BOT kila kitu kipo hadi calculator ya kukuonyesha faida utakayolipwaKwani hati fungani za BOT unaweza anza kununua za shilingi ngapi(kiwango cha chini cha kununua)?
Tafuta Vijana waaminifu watano (5) esp. Me. ingia nao Mkataba wa Biashara (Biashara ndogo-ndogo less than 300,000/=) na marejesho yawe ni kila mwezi 10%. Chunguza/Jifunze kwa waendesha bodaboda. Kila wiki 40,000/= au kila siku 7,000/= au shughuli inayofanana na hizo. Wengine hutumia fedha yako kufanya biashara na kile kinachopatikana huchukua cha juu na ww wanakupa albaki!🤪Habari ndugu zangu,
Mimi nataka kuanza kuwekeza pesa zangu za ziada lakini sijui nihifadhi wapi ambako nitajitengezea angalau faida ya asilimia 10 kwa mwaka!
Naomba msaada kwa anayejua
Mkuu samahani lakini. Ukiweka fixed A/C e.g. NMB plc 50mTzs. after 6 months utapata 5mTzs hii ni sawa na 1.06 % kila mwezi.Fungua Fixed Account , Na Uwe Unaweka Hiyo Hela Yako