DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kyagata ni mweupe kichwani na mwenye wivu na husda! Namwombea apate ajira hapo NAOT ili apunguze makasiriko na wivu
Huenda wewe ni mke wangu,maana mpaka umejua kuwa nina wivu while hatujuani,basi huenda ni mke wangu ninaelala na wewe kitanda kimoja..Kyagata ni mweupe kichwani na mwenye wivu na husda! Namwombea apate ajira hapo NAOT ili apunguze makasiriko na wivu
Nitatekeleza ushauri wako mkuu, naimani safari hii namie nitatoboa.Hapo Dodoma kupata uhakika nisikilize Mimi hapa
Jiandae vizuri kiakili ,kimwili na kiroho , leo usiku saa nane amka usali tahajudi
Then nenda hapo Dom utanipa feedback.
Jamii forum bhana ni zaidi ya burudani yaani naipenda zaidi ya fesibuku na istagramu 😂😂😂😂Kyagata ni mweupe kichwani na mwenye wivu na husda! Namwombea apate ajira hapo NAOT ili apunguze makasiriko na wivu
Haàhaaaaaa JamiiForums kibokoIla Mkuu si ulishapataga kazi TRA? what happened?
niende tra au nifanyaje wakuu?
naweza kusema kuwa miongoni mwa watu waliochaguliwa tra kwa nafasi ya custom officer ii is like dreams come true kwa sababu toka nikiwa mdogo mawazo yangu yalikua ni kufanya kazi sehemu tano tu ambazo ni tra,bot,Tic,wizarani na kuwa mwanajeshi,lakini kutokana na kwamba ukizaliwa africa ndoto...www.jamiiforums.com
Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Everybody is a boss humuHaàhaaaaaa JamiiForums kiboko