Kwa yoyote utakayochagua tafuta gari ya diesel..Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Sijauliza tofauti, nimeuliza ipi nzuri zaidi kwa Tz?Ni gari mbili tofauti, BMW M ni tofauti na C class, ungetaka labda ungeuliza kati ya C class na BMW 3 series, lkn BMW M ni version ya sports car ya BMW kama vile Mercedes AMG, au Audi R!
Labda ungeuliza kati ya C AMG na BMW M 3 series!
Sijauliza tofauti, nimeuliza ipi nzuri zaidi kwa Tz?