Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Nunua land rover defender au nunua Toyota Nadia
 
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.

Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
A very strong advice from a loved on... Go for that thing BMW
 
Hizi picha zako mbona hazifunguki
2011-BMW-M3-Coupe-E92-03.jpg
 
Back
Top Bottom