Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Kwa nini diesel?Ata enjoy maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini diesel?Ata enjoy maisha
Engine kubwa consumption ndogoKwa nini diesel?
Very easyService ya gari ya diesel inahitaji nini Na nini, I need to know prior purchases
Duuuu low class kwa nani?Mimi sio wa low Class
15km guaranteed... Naendaga msata na mafuta diesel ya Sh 15,000/= kwa bei ya Lita moja Sh 20001 litre ni kama km ngapi kwa foleni za DSM?
BMW ni nomaChukua BM mkuu, hutajuta
Alex ni magari kwa ajili ya watu low Class
Litre moja nayo unaipigia mahesabu kweli!! Nunua baiskeli kama unataka litre moja ikupeleke popote utakapo.1 litre ni kama km ngapi kwa foleni za DSM?
Jaguar ndio kali zaidi kama ww ni mpenzi wa gari kutoka ulayaBMW ni noma
Hakuna BMW M3 ya diesel hata moja huku dunianiKwa yoyote utakayochagua tafuta gari ya diesel..
Mtu anataka kununua BMW alafu anaulizia ulaji wa mafuta, hakuna mnunuaji wa gari hapo,Pia wewe una hizo characteristic za low class, mtu wa high class hawezi kuuliza lita 1 inaenda km ngapi.
Kwa ushauri wangu chukua M3 coupe kwa wewe mwanamke, ni gari zuri sana.
Hiyo Ontario boss mtoto anaishusha bongo soonRange Rover Velar