Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Sawa its economical lkn Umwambie pia maintainance costs ya Engine ya Diesel sio mchezo kulinganisha na ya Petrol.
Inahitaji nini Na nini kuifanyia service diesel engine?
 
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.

Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
BMW M3 its not an ordinary BMW, hio ni hatari sidhani kama unahitaji M-Power kwa ajili ya kutembea barabara za Bongo zote. Its too much. Kama ni BMW chukua ya kawaida BMW 3 series na sio M3.

Back to BMW vs Mercedes...BMW ni sporty while Merc is your typical daddy car! Kwa uzuri,hadhi na uimara naziweka daraja moja kwa hio hapo ni wewe tu unapenda ipi kwa muonekano.
BMW 320i VS Mecedes C200. Jitahidi ununue kuanzia 2010.
 
Range Rover Velar
Huyu mnyama ni habari ingine kabisa mkuu wangu
images.jpg
 
Nimeuliza ili nijue. Hata mshana jr nimemuuliza service ya gari ya diesel inahitaji nini Na nini? Napenda nijue vitu vya msingi
Gari ya diesel ni nzuri kwa utumiaji wa mafuta lakini service yake iko juu kidogo, na ukileta ubahili itaku-cost big time ila ya petrol haina mambo mengi service simple.
Gari ya diesel kila service lazima ubadili diesel filter,air filter wakati gari ya petrol sio lazima ubadili petrol filter au air filter.
 
Gari ya diesel ni nzuri kwa utumiaji wa mafuta lakini service yake iko juu kidogo, na ukileta ubahili itaku-cost big time ila ya petrol haina mambo mengi service simple.
Gari ya diesel kila service lazima ubadili diesel filter,air filter wakati gari ya petrol sio lazima ubadili petrol filter au air filter.
Tofauti na hayo mambo ya service, gari ya diseal ina faida gani compared to petrol car?
 
Faida yake ni miles per galon...yaani inakupa km nyingi kwa lita...diesel lita moja itakwenda 19km wakati petrol itakwenda 12km. Unaokoa hela.
Poapoa mkuu!.....ila kuwa na huruma na watoto wa JF,Mungu anakuona ujue!
 
Ukitaka ambayo haili mafuta, chukua baiskeli aina ya phonex au Swala..
 
Back
Top Bottom