Niichukie ipi kati ya Mercedes-Benz C 220 Na BMW M3

Kama unaanza kuulizia habari za wese ni bora tu uchukue vibaby wolker yasije yakakukuta kama yangu kutoka kwenye nissan fuga mpaka mpaka Premio
 
Kuwa same class inategemea na mengi hata kuna baadhi ya Hyundai wanasema ni same class na Mercedes, lkn BMW na Jaguar ni mbingu na nyota, ingawaje wanajaribu kuiga BMW lkn bado sana, BMW wameshaestablish kama Alternative ya Mercedes kwa muda mrefu sana, Jaguar bado wana safari ndefu!

Kwanza hata Volvo wanatoa gari kali kuliko Jaguar kwa sasa!
Sio kwa sasa.. Volvo wana gari imara na nzuri sana.. Mwaka jana gari yao ya xc90 iliipiku audi q7 na kuwa rated as safest car of the year.. Mie mwenyewe nikiwa na mavumba yangu ya kutosha namchukua volvo kama zlatan the lion[emoji4]
 
Volvo kwa safety wanaongoza siku zote, kwanza ndiyo sifa kuu ya Volvo, tatizo lao lilikuwa kwenye design, ila sasa hivi baada ya kununuliwa na geely ya Uchina wamepata fedha na kuwekeza kwenye design, engine, fun driving na mengineyo na haya matoleo ya sasa hivi wamejitahidi sana, ingawaje siwezi kusema kwamba wamefikia level ya German Big 3 yaani Mercedes, BMW na Audi, hapo bado sana, lkn wako vizuri!

Unaweza kusema kwamba kama ukishindwa Mercesdes, BMW au Audi basi kama altenative unaweza kuchukuwa Volvo, Jaguar au hata Renault talisman pia iko poa!
 
achukue Zima moto
Watu wana mbwembwe bwana...utakuta kazaliwa Wanging'ombe huko kasoma Idodi shule ya msingi Sekondari kasoma Ifakara na chuo kaenda Mpuguso ila Mungu kamkunia nazi kapata boya alompeleka kusomea cheti cha namna ya kufundisha hisabati bila kuwakera wanafunzi kwa week mbili halafu anakuja na hizi hadidhi za ''bara bara za huko zikoje'' ninunue BMW ama BMWY ptuuuuuuu!
 
Wanakwambia "It's not where you are from that matters, it is where you are".
 
Watu wana mbwembwe bwana...utakuta kazaliwa Wanging'ombe huko kasoma Idodi shule ya msingi Sekondari kasoma Ifakara na chuo kaenda Mpuguso ila Mungu kamkunia nazi kapata boya alompeleka kusomea cheti cha namna ya kufundisha hisabati bila kuwakera wanafunzi kwa week mbili halafu anakuja na hizi hadidhi za ''bara bara za huko zikoje'' ninunue BMW ama BMWY ptuuuuuuu!
Haters mpo everywhere. Daima hampendi MTU apate kitu kizuri. Nyie ni wachawi
 
Sio kwa sasa.. Volvo wana gari imara na nzuri sana.. Mwaka jana gari yao ya xc90 iliipiku audi q7 na kuwa rated as safest car of the year.. Mie mwenyewe nikiwa na mavumba yangu ya kutosha namchukua volvo kama zlatan the lion[emoji4]
Utarogwa Na Wana JamiiForums wao wanapenda Kila MTU awe masikini Na asiwe Na gari zuri
 
Airport fire service
My love hebu soma hii heading kwa makini
IMG_20171228_111815_056.jpg
 
Sio kwa sasa.. Volvo wana gari imara na nzuri sana.. Mwaka jana gari yao ya xc90 iliipiku audi q7 na kuwa rated as safest car of the year.. Mie mwenyewe nikiwa na mavumba yangu ya kutosha namchukua volvo kama zlatan the lion[emoji4]
Gari Kali sana, Ina option ya kutumia umeme tu Na betri yake imefungwa katikati ya gari. Tank lake ni Lita 50 tu
 
My favourite is BMW M3 lakini wanajf wakanipush kwenye 3series. 3 series ni ndogo Na sizipendi. Mi nataka M3
Hakuna shida kwenye hilo hebu soma tena hii heading
IMG_20171228_194542_802.jpg
ina typing error... Badala ya niichukue ukaandika niichukie
 
Back
Top Bottom