nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapo kwenye safety,unafahamu kuwa safety rating huwa inafanywa katika 40mph ambayo ni kama 64km/h ? Ina maana kwa speed zaidi ya hapo hakuna data zozote kuhusu safety.Basi hapo tunapotofautiana mkuu... Kwenyw gari naangalia interior na safety... Hata tukirud kwenye transit volvo wana vichwa vitam sana sema ndo vile mjeruman alishafanya yake since enzi za Hitler.
Mercedes C ni cheap class, walau angeruka na S class angekuwa wa maanaChukua Mercedes Benz C Class kama unataka kumnunulia gari Housegirl wako asipate tabu kwenda sokoni.
C Class ni low class katika Mercedes Benz.
AhahahahaKama unaanza kuulizia habari za wese ni bora tu uchukue vibaby wolker yasije yakakukuta kama yangu kutoka kwenye nissan fuga mpaka mpaka Premio
A wagon for the real menHuyu mnyama ni habari ingine kabisa mkuu wanguView attachment 660717
Nimecheka sana, yani kwakweli kwenye masuala ya usafiri wese ni pasua kichwa.Kama unaanza kuulizia habari za wese ni bora tu uchukue vibaby wolker yasije yakakukuta kama yangu kutoka kwenye nissan fuga mpaka mpaka Premio
We mjamaa mungu anakuona..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
Ukijibiwa unitag but mimi nataka Range Rover bodi niweke injini ya Land Rover Discovery TDI 5 na kama inawezekana nitafurahi kupata ushauri na namba za gereji yakufanyia.Nahitaji bodi la gari aina ya landrover vogue na fundi wa kumodify engine na gearbox kuweka ya landcruser
Mwaka gani hii??
Mkuu za diesel mbona BeForward hazisomeki...nyie mnapatiaga wapi?15km guaranteed... Naendaga msata na mafuta diesel ya Sh 15,000/= kwa bei ya Lita moja Sh 2000
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu.
Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa kunimuvusisha from point A to B. Je nichukue gari gani kati ya Mercedes Benz C 200 Na BMW M3 3series?
Ipi ni nzuri kwa barabara zetu za uswahilini, fuel consumption, availability ya spares Na durability. Bila kusahau swagga Na mtama nikiwa na cruise
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwaiyo mtu anayetaka kujua bajeti ya kitu kabla ya kununua ni low class???Pia wewe una hizo characteristic za low class, mtu wa high class hawezi kuuliza lita 1 inaenda km ngapi.
Kwa ushauri wangu chukua M3 coupe kwa wewe mwanamke, ni gari zuri sana.
Unamiliki passo itakuaMtu anataka kununua BMW alafu anaulizia ulaji wa mafuta, hakuna mnunuaji wa gari hapo,
Kwanini kuanzia 2010 mkuuBMW M3 its not an ordinary BMW, hio ni hatari sidhani kama unahitaji M-Power kwa ajili ya kutembea barabara za Bongo zote. Its too much. Kama ni BMW chukua ya kawaida BMW 3 series na sio M3.
Back to BMW vs Mercedes...BMW ni sporty while Merc is your typical daddy car! Kwa uzuri,hadhi na uimara naziweka daraja moja kwa hio hapo ni wewe tu unapenda ipi kwa muonekano.
BMW 320i VS Mecedes C200. Jitahidi ununue kuanzia 2010.